FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

Hawa waarabu majinga sana acha yatoke tu,kwanza yanacheza mpira wa kijinga jinga muda wote kupoteza muda na kumzingua zingua refa......pili tabia zote kama kuwasha moto viwanjani na kutumia tochi Kwa wapinzani ni wao wenyewe waasisi........ni Raha kuona Algeria na Misri wamechomoka , pamoja na kuwa na wachezaji wenye vipaji ila wanaboa sana kuangalia mechi zao
 
hawa waarabu siwapendi hata bure sijui kwann Tunisia na Morocco wafuzu au basi tu
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
Umeanza kuangalia mechi za waarabu Jana SI ndio !!?? Hakuwa watu wajinga wenye michezo ya hovyo kama hao unaowatetea ...kifupi wameanzisha wao hii tabia. Muosha huoshwa...
 
Dah... ukawatabiria waarabu watung'oe Simba tusioshindika?
Winning Probability mkuu, yaani this qualifications imejaa malalamiko, ilipaswa mechi zote wapige Marefa waarabu kama Senegal na Egypt tuone excuses zao.

Ila Waarabu bana wanapenda kulalamika weee wakiwa favored wanasema wana kiwango.
 
Mbona Simba na Yanga zinajaza wakati timu ya Taifa hata kufika robo ya nyomi ya Simba na Yanga hawafikishi!!?? Mpira wetu umegubikwa na upuuzi mwingi mnooo ...
Friendly match ni tofauti na competitive match, ingekua Ni Morroco vs Tz qualifications. Uwanja ungejaa
 
Winning Probability mkuu, yaani this qualifications imejaa malalamiko, ilipaswa mechi zote wapige Marefa waarabu kama Senegal na Egypt tuone excuses zao.

Ila Waarabu bana wanapenda kulalamika weee wakiwa favored wanasema wana kiwango.
Afu wakienda World Cup Finals wanalitia aibu bara la Africa
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
Itakua haukuangalia mechi yao ya kwanza wewe...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
Hakuna kitu kama hicho. FIFA wanazo taarifa hizo, lakini hicho hakikuwa kisingizio cha Misri kunyukwa. Senegal imeshapitishwa katika mataifa yatakayokipiga World Cup mwezi Novemba mwaka huu. Bahati mbaya pole sana, jaribu tena 2026, kwa mwaka huu maombi yako yamegonga mkenge wa jogoo!
 
Back
Top Bottom