FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

Nakusamehe kwa Upumbavu wako, ila nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa hakuna Nchi ambayo ndiyo Walimu Wazuri na Waanzilishi wa Fitina zote na Umafia wote ( Kitaalam inaitwa 4-4-2 ) katika Soka la Afrika kama Misri ( Egypt ) na hata hicho ambacho unakiona wamekifanya hao Raia wa Senegal na chenyewe pia Wamejifunza na Kukiiga kutoka kwa Mafarao ( Wamisri ) Wenyewe.

Mkisikia Muosha Huoshwa muelewe!!!!!
Mi nataka kujua kwanini wenzetu wanajaza viwanja mashabiki halafu huku kwetu wanazuia?
 
Kuna kitu kimefanyika pale sio bure, kuna lipumbafu limeshika laser lakini polisi wala referee hawakuthubutu kusema chochote,ni dhahiri senegal amebebwa.
Aliyekudanganya kuwa hata Egypt nae huwa habebwi ni nani? Kuna Watu ni Wapuuzi sana hadi nashangaa kwanini Covid-19 haikuondoka tu nanyi ili mpungue duniani na tupumzike pia.
 
Sasa hizo taa chimbuko lake ni Egypt hata mechi za simba na al ahly walikuwa warabu wanatumia hvyo tena hao Senegal hawajui kutumia vizuri kama wenyewe waarabu utadhani kuna director kiufupi waarabu ni wabaguzi sana afadhali wametolewa wanafigisu sana hao kwao ndio maana wakikutana na team zinazocheza mpira hawatoboi.
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti.. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafuView attachment 2168687
Unateseka ukiwa wapi
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti.. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
Hata Misri walifanya kule kwao na Senegal wamewaiga tu walichofanyiwa
 
Acha uboya basi Senegal wanastahili kufuzu haya mashindano.. kama hujuma ya mataa si wangefungwa mapema Toka dakika 90 za Mwanzo.. tuache tusherehekee ushindi wetu
Imewaathiri zaidi kwenye penalti, golkipa anajiandaa kudaka anapigwa na tochi ta machoni...mchezaji anajiandaa kupiga nae anapigwa na tochi machoni
 
Hao waarabu ndo zao hizi hapa ni waliua kwa upanga kinawakuta hicho hicho.
good Senegal..
FB_IMG_16485844724437761.jpg
 
Aliyekudanganya kuwa hata Egypt nae huwa habebwi ni nani? Kuna Watu ni Wapuuzi sana hadi nashangaa kwanini Covid-19 haikuondoka tu nanyi ili mpungue duniani na tupumzike pia.
Corona ikawaondoa wa maana ikatuachia hawa mashudu.
 
Back
Top Bottom