FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

Attachments

  • 20220330_065552.jpg
    20220330_065552.jpg
    109.2 KB · Views: 19
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti.. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
dunia nzima ipi??? Sisi tumefurahi Sana Egypt kutolewa, tena waanzilishi wa hizo tochi ni wao waarabu, wakafiee mbele,

labda fifa ya nyoko
 
Kuna msemo wa kiarabu unasema (Kamaa Tadiinu Tudaanu) Utakavyofanya Ndiyo Utafanyiwa

Acha Waarabu waipate kwakuwa waliwafanyia wenzao Kitambo...!
 
Itakuwa wew n fata mkumbo mpira huujui nenda kaangalie bongo movie
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
vp na hawa walifungiwa ?
FB_IMG_1648623535214.jpg
 
Back
Top Bottom