FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706

C6F506BB-DE51-4228-9E4D-E390BE79BE64.jpeg
 
Ina maana ilikuwa ikifika zamu ya wachezaji wao kuwa na mpira au kupiga penalti walikuwa wanazima (sikuangalia mpira I have to declare), kama la hizo laser beam zilikuwa na shida kwa wote! Inanikumbusha kuna timu ilicheza (ga) uwanja fulani ulikuwa umejaa maji, na wakalalamika kuwa wamepoteza mchezo kwa sababu ya uwanja kujaa maji, mashabiki wakawauliza kwani wale wenzenu mliocheza nao walikuwa samaki?
 
Walikuwa wakielekeza machoni kwa wachezaji wa Misri, na sio wakati wote, mchezaji akiwa anapiga faulo au penalti anamulikwa na mwanga mkali usoni

Golikipa naye akiwa anajiandaa kudaka faulo au penalti, au kukiwa na mpira wa hatari langoni kwake anamulikwa na mwanga mkali usoni
 
🤣🤣 hivi jana ulijisikiaje ndugu yangu baada ya lile goli la dkk ya mwisho lililoizamisha timu yako pendwa Algeria?

Nimeumia sana bi shadeeya, hao cameroon wangewaachia algeria wakatuwakilisha. Algeria w/c wanafanya vizuri
 
Walikuwa wakielekeza machoni kwa wachezaji wa Misri, na sio wakati wote, mchezaji akiwa anapiga faulo au penalti anamulikwa na mwanga mkali usoni

Golikipa naye akiwa anajiandaa kudaka faulo au penalti, au kukiwa na mpira wa hatari langoni kwake anamulikwa na mwanga mkali usoni

Goal keeper wao alikua anamlalamikia sana referee pindi wanampiga laser, lakini refa hakujali.. ingelikua ndio ulaya refa na timu husika wangefungiwa na hata kushiriki w/c
 
Egypt hawana lolote kwa sasa, hawana tofauti na taifa stars
Hahahaaa. Ile game na Senegal sikuujutia usingizi wangu kwa kweli. Na Misri alipelekwa hatari.

Japo after 120 mins nilipandwa Presha pale walipo anza kukosa zile penalties.

Pia nadhani wajipange upya huenda wakarudi na ule moto wao wa zamani.
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
Wenyewe wamelalamika?
 
Yah wakitumia kocha mzawa watarudi kwenye ufalme wao, lakini makocha wa nje nuksi 🤣
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
Kwa nini wasingegoma kupiga penalti mpaka matochi yaondolewe?
 
Nakitafuta hicho kitochi Kama 30 HV mechi zote za Simba nimulike manula [emoji1787]
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
Nadhani hizi tabia zimeanzishwa na nchi za kiarabu wakiongozwa na Misri + Sudan enzi hizo
 
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu

Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti

Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu

Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa

View attachment 2168706
Iziii habarii mnazoandika iziiiii anatolewa na wakatiii kadhapangwa kwenye hatua ya makundiiiiii
 
Back
Top Bottom