BLACK Tanzania
Member
- Aug 26, 2015
- 32
- 120
Kabisa mkuu kauli mbiu hiyo hapo chini tukawaambie wanapanga matokeo kwenye mechi za simba na yangaItakuwa jambo jema
Twendeni page za caf na fifaChura kiziwi anaona Simba na Yanga zinsaidia kupumbaza WATANGANYIKA
Twendeni Sasa tukawachome kwamba wanataka kupanga matokeo Ili akili iwakae sawaSiasa za kipuuzi zimeingizwa kwenye taasisi za umma na kimamlaka, matokea yake wamejisahau hadi kuingiza huo upuuzi kwenye soka, bila kujua soka liko kwenye sheria za nje ya huu upuuzi wa humu ndani. FIFA watufungie mara moja kama ni kweli.
Who the fvck are they ?Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA
Si
View: https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
Uache ujinga wewe unatumia akaunti ya Taasisi kuandika ujinga mwishoe unaeletea taasisi shida.Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA
Si
View: https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
Sawa lakini mpaka dabi ya mama ichezwe..Tufungiwe tu.
Hata tukifungiwa dabi itapigwa lakini hatutashiriki michuano yoyote ya kimataifa pia tutapokonywa nafasi ya kuandaa AFCON 2017.Sawa lakini mpaka dabi ya mama ichezwe..
Ananunua magoli kwa gharama kubwa hivyo ni mteja muhimu huyo lazima asikilizwe.Siasa za kipuuzi zimeingizwa kwenye taasisi za umma na kimamlaka, matokea yake wamejisahau hadi kuingiza huo upuuzi kwenye soka, bila kujua soka liko kwenye sheria za nje ya huu upuuzi wa humu ndani. FIFA watufungie mara moja kama ni kweli.
Washabiki wa simba na yanga wako milioni ngapi Tz katika hiyo idadi ya M60 ya watu hapa Tz?Mimi wa kwanza kuunga mkono mkono Tanzania tukifungiwa na FIFA kwa sababu CCM inazitumia Simba na Yanga kufifisha fikra za Watanganyika wengi muda mwingi wanabishania timu hizi mbili huku kukundi kidogo cha mafisadi wa CCM wakiifisadi nchi kwa kasi ya 5 G.