Unatuma email FIFA na kutuma zile picha wa viongozi na rais na nyaraka nyinginezo?Kabisa mkuu kauli mbiu hiyo hapo chini tukawaambie wanapanga matokeo kwenye mechi za simba na yanga
Unatuma email FIFA na kutuma zile picha wa viongozi na rais na nyaraka nyinginezo?Kabisa mkuu kauli mbiu hiyo hapo chini tukawaambie wanapanga matokeo kwenye mechi za simba na yanga
NdioUnatuma email FIFA na kutuma zile picha wa viongozi na rais na nyaraka nyinginezo?
Fanya hivyo ili tupumzike na mambo ya Simba na Yanga. Mashabiki kindakindaki wa hizi timu wanajikuta hadi nyeupe wanasema nyeusi wamekaza shingo wanabishana kweli!Ndio
Tayari Mimi bado nyieFanya hivyo ili tupumzike na mambo ya Simba na Yanga. Mashabiki kindakindaki wa hizi timu wanajikuta hadi nyeupe wanasema nyeusi wamekaza shingo wanabishana kweli!
Na wewe ni mjinga ? Jee wewe ujinga wako umetokana na nini?Si kwamba unataka kuwasukumia lawama zote mashabiki wa soka kwa ujinga wa watanzania? Kwamba ionekane watanzania wapo hivi walivyo kisa wanashabikia simba na yanga?
Ndo uweke huo ushahidi sasaUshahidi ni pale rais Karia alipoambiwa asigombee tena !!!!!!!
Ndio mimi ni mjinga pia maana ni pamoja na nyie ambao wote hatuna tunachofanya zaidi ya kujificha mitandaoni na kuishia kulalamika, mimi sio shabiki wa simba na yanga. Ndio maana sioni kama ni sahihi huu ujinga wetu tukwatupia lawama watu wenye kushabikia simba na yanga.Na wewe ni mjinga ? Jee wewe ujinga wako umetokana na nini?
Pole kwa ujinga wako wa kuwa mwanaccm.Ndio mimi ni mjinga pia maana ni pamoja na nyie ambao wote hatuna tunachofanya zaidi ya kujificha mitandaoni na kuishia kulalamika, mimi sio shabiki wa simba na yanga. Ndio maana sioni kama ni sahihi huu ujinga wetu tukwatupia lawama watu wenye kushabikia simba na yanga.
Sawa niite mie mwana ccm, ila jiulize wewe ambaye sio ccm umefanya nini? Unadhani unafanya cha maana kwa kulalamika na kubishana na machawa humu mitandaoni kiasi cha kuona kwamba wenye kushabikia simba na yanga ndio wanakwamisha mabadiliko ya nchi kisa wao hawafanyi kama unavyofanya wewe humu?Pole kwa ujinga wako wa kuwa mwanaccm.
Sawa niite mie mwana ccm, ila jiulize wewe ambaye sio ccm umefanya nini? Unadhani unafanya cha maana kwa kulalamika na kubishana na machawa humu mitandaoni kiasi cha kuona kwamba wenye kushabikia simba na yanga ndio wanakwamisha mabadiliko ya nchi kisa wao hawafanyi kama unavyofanya wewe humu?
Tuwekee hapa link ya hiyo taarifa ya FIFAChura kiziwi anataka mpira wa Tanganyika ufe ndiyo maana anaingilia maamuzi ya mpira.FiFa wamesema watatoa uamuzi wa kuifungia miaka mingi baada ya wiki hii
Kmmk 😁Ananunua magoli kwa gharama kubwa hivyo ni mteja muhimu huyo lazima asikilizwe.
Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA
Si
View: https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
Wanatumia ubaya ubwela bila kutumia akili, kumbe ubaya ubwela ni kupata ushindi Kwa njia yoyote ileSawa tu,alipongilia waziri kupiga simu kupelekea derby kuhairishwa mliona sawa,saizi kelele nyingi kisa upuuzi wenu WOTE umehulikana mliounadi kwa JINA la "ubaya ubwela"