Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

Hata tukifungiwa dabi itapigwa lakini hatutashiriki michuano yoyote ya kimataifa pia tutapokonywa nafasi ya kuandaa AFCON 2017.

Ikiwa hivyo nitafurahi na kurukaruka!
Hapana sio jambo la kufurahia hilo....
Sisi wafanyabiashara tunaitegemea fursa ya AFCON , mfano mimi nimeplan kufungua ofisi pale kwa mkapa niwauzie mbege wageni..
 
Na umetumia vigezo gani kukisia idadi hiyo?
Vigezo ni kiwango cha ushabiki wa Watanzania kwa timu hizi mbili unless huishi Tanzania kuuliza swali hili. Mijadala kwenye media zote, vijiwe vya mitaani hata maofisini, kwenye magroup ya whatsapp nk. Ushabiki wa Simba na Yanga hapa Tanzania ni ugonjwa mbaya sana.
 
Hapana sio jambo la kufurahia hilo....
Sisi wafanyabiashara tunaitegemea fursa ya AFCON , mfano mimi nimeplan kufungua ofisi pale kwa mkapa niwauzie mbege wageni..
Nipe ajira ya kuhudumia wageni mbege la sivyo ninaweza kufunga na kuomba ili tufungiwe.
 
Fifa wanataka mpira uchezwe, Serikali imefanikiwa kusuruhisha pande zilizo kuwa kwenye mgogoro na mechi itachezwa, kuna shida hapo?
Rais akitoa ndege msafiri mnachekelea hamsemi anaingilia michezo, akitoa motisha ya goli la mama mnapokea hamsemi kaingilia michezo.
PELEKENI TIMU ACHENI KUTAFUTA PA KUJIFICHA KAMA MARCH 8
CAS walishindwa kutoa suluhuhisho serikali imefanikiwa, kikikiki
 
Hujielewi wewe
Naunga Mkono hoja
===
Alivyokuwa anatoa hela za magoli hakuingilia, lakini alopoombwa awape ukumbi bodi ya lingi, TFF, Simba na Yanga wafanye majadiliano Yao hapo kaingilia michezo.
 
Sasa Tanzania ikifungiwa na CAF Chadema mutafaidika na nini? nyie jamaa muna roho za kishetani sana. Yani mupo tayari tule ziki ilimradi tu hamjapata serikali.
 
Sasa Tanzania ikifungiwa na CAF Chadema mutafaidika na nini? nyie jamaa muna roho za kishetani sana. Yani mupo tayari tule ziki ilimradi tu hamjapata serikali.
Kwa nn siyo Chauma au ACT?
 
Back
Top Bottom