Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

Washabiki wa simba na yanga wako milioni ngapi Tz katika hiyo idadi ya M60 ya idadi ya watu hapa Tz?
Kwa timu zote wanaweza kufika 40m, usione CCM kuzikumbatia hivi ni mtaji mkubwa sana kwao.
 
Hata tukifungiwa dabi itapigwa lakini hatutashiriki michuano yoyote ya kimataifa pia tutapokonywa nafasi ya kuandaa AFCON 2017.

Ikiwa hivyo nitafurahi na kurukaruka!
Hapana sio jambo la kufurahia hilo....
Sisi wafanyabiashara tunaitegemea fursa ya AFCON , mfano mimi nimeplan kufungua ofisi pale kwa mkapa niwauzie mbege wageni..
 
Na umetumia vigezo gani kukisia idadi hiyo?
Vigezo ni kiwango cha ushabiki wa Watanzania kwa timu hizi mbili unless huishi Tanzania kuuliza swali hili. Mijadala kwenye media zote, vijiwe vya mitaani hata maofisini, kwenye magroup ya whatsapp nk. Ushabiki wa Simba na Yanga hapa Tanzania ni ugonjwa mbaya sana.
 
Hapana sio jambo la kufurahia hilo....
Sisi wafanyabiashara tunaitegemea fursa ya AFCON , mfano mimi nimeplan kufungua ofisi pale kwa mkapa niwauzie mbege wageni..
Nipe ajira ya kuhudumia wageni mbege la sivyo ninaweza kufunga na kuomba ili tufungiwe.
 
CAS walishindwa kutoa suluhuhisho serikali imefanikiwa, kikikiki
 
Itakuwa jambo jema

Hakuna aliyeingilia ila hizo timu Moja ni ya Mwigulu na nyingine ya January πŸ˜πŸ˜βœ”οΈ
Rais aliwaita kufanya nao nini, na kama unajua mamlaka ya Rais yeye hashauri bali hutoa maagizo (amri) unataka hutaki ndivyo itakavyokuwa
 
Hujielewi wewe
Naunga Mkono hoja
===
Alivyokuwa anatoa hela za magoli hakuingilia, lakini alopoombwa awape ukumbi bodi ya lingi, TFF, Simba na Yanga wafanye majadiliano Yao hapo kaingilia michezo.
 
simba mlizidi kudeka kwa tff mpaka mkatia kichefuchefu
 
Sasa Tanzania ikifungiwa na CAF Chadema mutafaidika na nini? nyie jamaa muna roho za kishetani sana. Yani mupo tayari tule ziki ilimradi tu hamjapata serikali.
 
Sasa Tanzania ikifungiwa na CAF Chadema mutafaidika na nini? nyie jamaa muna roho za kishetani sana. Yani mupo tayari tule ziki ilimradi tu hamjapata serikali.
Kwa nn siyo Chauma au ACT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…