FIFA waja na Kituko cha Karne

FIFA waja na Kituko cha Karne

Huu ni ukweli mchungu na siku zote ukweli unakuwaga mchungu sana, kuna siku Ronaldo aliwah kuulizwa unadhani utamaliza career yako kwa kumzidi Messi mafanikio akasema yaaah 😂😂😂, sisi watu wa boli tulishajua ile ni futuhi anayoongelea yeye ila boli linapigwa na Messi, unajua walianza na mchezaji gani hana copa america mbugi likapigwa akaikosa mara mbili ya tatu akaipata, wakasema kama mnataka tumkubali abebe wordcup mhuni katinga fainali mbili na moja akaibeba wamebadilisha staili ya maneno saivi, aisee

Copa America ⌛ brazil tumempiga kwake

Finallisima ⌛The Finalissima sees the winner of the Euros tournament take on the winner of the Copa America -
italy nae tukamtwanga kule Wembley stadium

World cup ⌛ france nae tumempiga na counter attack zake hahhaaaa
 
Mkuu hawana data za kuweka ila wana maneno ya kijiwe nongwa sasa maneno ya kijiwe nongwa sisi ndio tusikilizage ?
 
Sidhani kama atashinda. Uwezekano ni kuwa namba tatu.
 
MKuu hakuna tofauti kubwa kati ya ligi ya Bongo na US, kuwa kacheza Pele sio hoja, US ni taifa kubwa kwahiyo hayo mambo mengine ni rahisi kuwezekana sio kwa sababu ya standard yao ya mpira.
We jamaa acha ushabiki wa kishamba, MLS ina rank namba 15 league bora duniani, hio ligi ya huko Saudi ya penaldo wako ni ya 36.

Sasa unapoifananisha MLS na hii league ya Bongo sijui unamaanisha nn au ni ignorance tuu
 
mchezaji bora wakarne alipewa ronado boya wewe
Sawa we mjanja nani alimpa ? Globe soccer award ? Wale si wanaropokaga tu, sisi tunaongelea tuzo zinazotolewa na FIFA na fifa ndio inagovern mpira duniani, hata wewe unaweza ukaanzisha na kutoa tuzo , kwan ukiwa mpumbavu mpaka uje uonyeshe mitandaoni tukujue ?
 
fifa ndio walimpa
Sio FIFA ni Globe Soccer Award ilioanzishwa na Tomaso Bendoni tena hichi kijamaa kikimbia mbio cha uingereza kilianzisha hii kitu 2010, yan wewe ndio unaniambia mimi nimeanza juz kuangalia mpira na hujui aliempa hiyo tuzo Ronaldo ni nani ? Aisee nyie jamaa ni useless kabisa, nilidhan hata hiyo tuzo unaijua kumbe hujui kitu mzee sasa me na wewe mbona mpira hatuwez kuuongelea kwenye dimension yeyote ile sababu hujui kitu, FIFA hawana hiyo tuzo, mmeanza kuangalia mpira juz juz kwenye vibanda umiza yale maneno mkidanganyana mnayabeba hivyo hovyo mnakuja nayo huku aisee, ukiambiwa kitu fanya research kwanza kabla ya kuropoka aisee
 
ulivyosema Messi ndiomchezaji bora wakarne alipewa namamako?au ukoo wenu ndio mulimpa?
Sasa mkuu kwanini ulikimbia umande na unakuja kunikaripia mimi ? Mimi kosa langu nini ? Kwanini ulikataa shule ? Unaona sasa upumbavu wako unauanika hapa masta ?
namamako ❌
na mama yako👍
mulimpa ❌
Mlimpa 👍
Sasa mkuu kuandika lugha mama huwez utaweza kuyajua mambo ya mpira kweli ? 😂😂😂😂😂😂😂, Uhuru wa hii nchi sometimes unatengeneza majinga yasiojijua… Mkuu relax kwanza vua kwanza migebuka hiyo alafu songa na ugali ule utulize munkari.
 
We jamaa acha ushabiki wa kishamba, MLS ina rank namba 15 league bora duniani, hio ligi ya huko Saudi ya penaldo wako ni ya 36.

Sasa unapoifananisha MLS na hii league ya Bongo sijui unamaanisha nn au ni ignorance tuu
Yan hawana data hawa MLS ni kubwa kuliko ligi ya scotland, inaishinda hadi ligi ya Sauz hapo chini kwa Mandela sasa ligi ya Sauz na ya Bongo ipi bora ? Hawana data hawa mkuu
 
Sio FIFA ni Globe Soccer Award ilioanzishwa na Tomaso Bendoni tena hichi kijamaa kikimbia mbio cha uingereza kilianzisha hii kitu 2010, yan wewe ndio unaniambia mimi nimeanza juz kuangalia mpira na hujui aliempa hiyo tuzo Ronaldo ni nani ? Aisee nyie jamaa ni useless kabisa, nilidhan hata hiyo tuzo unaijua kumbe hujui kitu mzee sasa me na wewe mbona mpira hatuwez kuuongelea kwenye dimension yeyote ile sababu hujui kitu, FIFA hawana hiyo tuzo, mmeanza kuangalia mpira juz juz kwenye vibanda umiza yale maneno mkidanganyana mnayabeba hivyo hovyo mnakuja nayo huku aisee, ukiambiwa kitu fanya research kwanza kabla ya kuropoka aisee
Messi mwenyewe Ali kuwepo kwenye hizo tuzo, uli msikia alivyo mzungumzia Ronaldo??
👉Haya kwenye rate ya wachezaji Bora was dunia, yeye huwa ana jiweka level moja na cr7.
👉I respect both of them 💪, sijui ka tutaona mbungi jingine ka lao💔
 
World cup ⌛ france nae tumempiga na counter attack zake hahhaaaa
Be fair dude. We all watched that game, the game was very easy to Argentina on the first half and Mbappe was nowhere to be seen but the second half and the extra time of the game was very tough for the both side.
 
MKuu hakuna tofauti kubwa kati ya ligi ya Bongo na US, kuwa kacheza Pele sio hoja, US ni taifa kubwa kwahiyo hayo mambo mengine ni rahisi kuwezekana sio kwa sababu ya standard yao ya mpira.
Acha ujinga
 
jamii yangu hainatatizo tatizo wewe unaesema mesi ndiomchezaji bora wakarne🤣ulimchagua naukoowako au?
Tatizo halianzii kwangu wala kwa messi , tatizo ni hujui kuandika hata lugha mama huoni kama hilo ni tatizo kubwa kuliko yote ? . Yan kuandika tu paragraph moja tu nanga ipaa mkuu ? Aisee we ni jitu la nanjilinji ndani ndani au sio ?
 
Back
Top Bottom