FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

Hiyo inaondoa ladha ya flow ya mechi

Hii itasababisha ladha ya mpira kupungua
Safi Sana. Kwanza inatakiwa ifutwe kabisa offside isiwepo. Kama mipaka ya uwanja inafahamika na idadi ya wachezaji ni sawa huko kuzidi kunatokea wapi? Wamechelewa Sana.
 
Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote


View attachment 2675466
hii ndo niliyokuwa nataka mimi tangu kitambo,imagine watu walinyimwa magoli kisa kazidi kifundo cha goti!!!
 
Back
Top Bottom