jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Itawezaje kufutwa? Na striker akiamuwa kubakia na kipa akisubiri mpira si itabidi beki mmoja naye abakie naye. Kiujumla unadhani mpira utachezeka? Itakuwa kuviziana tuu😄Safi Sana. Kwanza inatakiwa ifutwe kabisa offside isiwepo. Kama mipaka ya uwanja inafahamika na idadi ya wachezaji ni sawa huko kuzidi kunatokea wapi? Wamechelewa Sana.