[emoji23][emoji23]kuna njemba zitakua zina kwenye box tu zinasubiri mipira mirefuSafi Sana. Kwanza inatakiwa ifutwe kabisa offside isiwepo. Kama mipaka ya uwanja inafahamika na idadi ya wachezaji ni sawa huko kuzidi kunatokea wapi? Wamechelewa Sana.
Mpira ukizidi robo tatu inahesabika kamba Mzee baba..Safi sana. Hivi ndio inatakiwa sio mtu kazidi kisigino eti offside.
Offside iwe kama ya mpira kuingia golini lazima mpira uvuke mstari.
[emoji23][emoji23][emoji23] Umefikiria sanaSafi Sana. Kwanza inatakiwa ifutwe kabisa offside isiwepo. Kama mipaka ya uwanja inafahamika na idadi ya wachezaji ni sawa huko kuzidi kunatokea wapi? Wamechelewa Sana.
NI kweli, na hii itaondoa kuviziana. Eti mtu amezidi kucha..!!Ndio ilitakiwa iwe hivi mwili mzima ndio mtu ahesabike amezidi
Mpaka kukauka Koo[emoji23][emoji23][emoji23] maana kazi itakuwa ngumu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa beki unakaba mpaka mwisho
Kabisaaaaa! Waamuzi Wetu huwa wanatoa maamuzi mpaka wanajishtukia wao wenyeweKutatokea madudu NBC subirini muone kwa hawa waamuzi wetu wa mchongo...
Sema mabeki watapata tabu saaanaaNI kweli, na hii itaondoa kuviziana. Eti mtu amezidi kucha..!!
Umenikumbusha beki wa malumo alivyomkimbiza Mayele akaishia kuomba kutoka..!!Mpaka kukauka Koo[emoji23][emoji23][emoji23] maana kazi itakuwa ngumu sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha beki wa malumo alivyomkimbiza Mayele akaishia kuomba kutoka..!!
Hapa hamna kutegea ni mwendo wa gombania goli tuuMpaka kukauka Koo[emoji23][emoji23][emoji23] maana kazi itakuwa ngumu sana
Sheria mpya sio?Mpira ukizidi robo tatu inahesabika kamba Mzee baba..
Afadhali Joash Onyango amejiongeza. Au jamaa alionyeshwa ndotoni?
Siyo lazima iwe offside,vibendera Wana kazi nyingi ukiacha hiyo ya kuchungulia offsideWakiondoa offside kabisa sasa malaizimen watakuwa na kazi gani tena?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mbona ipo mkuu!Sheria mpya sio?
Safi Sana. Kwanza inatakiwa ifutwe kabisa offside isiwepo. Kama mipaka ya uwanja inafahamika na idadi ya wachezaji ni sawa huko kuzidi kunatokea wapi? Wamechelewa Sana.
hii ndo niliyokuwa nataka mimi tangu kitambo,imagine watu walinyimwa magoli kisa kazidi kifundo cha goti!!!Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
View attachment 2675466