Itawezaje kufutwa? Na striker akiamuwa kubakia na kipa akisubiri mpira si itabidi beki mmoja naye abakie naye. Kiujumla unadhani mpira utachezeka? Itakuwa kuviziana tuu😄Safi Sana. Kwanza inatakiwa ifutwe kabisa offside isiwepo. Kama mipaka ya uwanja inafahamika na idadi ya wachezaji ni sawa huko kuzidi kunatokea wapi? Wamechelewa Sana.
Wakiondoa offside, basi tambuwa kuwa watatakiwa waruhusu subs hata 10. Maana lazima watachoka sana.Mimi pia huwa siwezi kuelewa logic ya offside!! Kazi ya mabeki ni kumkaba mshambuliaji!! Kama wanaona mshambuliaji anasogea mbele zaidi, ni juu yao kumfuata na kumkaba na siyo kumkimbia ili awe offside!! Na mimi ningependa sheria ya offside ifutwe kabisa!! Inatunyima utamu sana!
Sawa, acha wachoke lakini burudani itakuwa nzuri mno!! Haya mambo ya kumkimbia strikewr ili aonekane kuzidi yametupora uhondo sana!! Sasa hakuna kumtoroka Mayele, pambana n aye!!Wakiondoka offside, basi tambuwa kuwa watatakiwa waruhusu subs hata 10. Maana lazima watachoka sana.
Kuna striker huwezi kumwacha na beki mmoja. Sasa hapo uwanja utapanuka zaidi. Watakimbizana mbaya kabisa na watachoka mapema sana.
magoli ndio yanaweza yasipatikane kabisa mana timu zitakuwa zinafanya low block!Both teams to score za kutosha
Over za kutosha au nasema uongo ndugu
HIMARS
Buddy
WIMICKY
Kilimbatzz
avogadro
Mtoto wa nzi
tpaul
Kombe la funia tako lilikuzwa na 3D technology ikawa offside 😁😁😁hii ndo niliyokuwa nataka mimi tangu kitambo,imagine watu walinyimwa magoli kisa kazidi kifundo cha goti!!!
Halafu hii Sheria ya offside ukitafakari imekaa kifala kweliBora tu waondoe off side. Itafanya mpira uchangamke na mechi ziwe na Magoli ya kutosha
Nakuunga mkonoSafi Sana. Kwanza inatakiwa ifutwe kabisa offside isiwepo. Kama mipaka ya uwanja inafahamika na idadi ya wachezaji ni sawa huko kuzidi kunatokea wapi? Wamechelewa Sana.
Umeona mkuu
Wewe na mm tunawaza sawaMimi pia huwa siwezi kuelewa logic ya offside!! Kazi ya mabeki ni kumkaba mshambuliaji!! Kama wanaona mshambuliaji anasogea mbele zaidi, ni juu yao kumfuata na kumkaba na siyo kumkimbia ili awe offside!! Na mimi ningependa sheria ya offside ifutwe kabisa!! Inatunyima utamu sana!
Simba itafunga 100 per one match..Bora tu waondoe off side. Itafanya mpira uchangamke na mechi ziwe na Magoli ya kutosha
Mkuu, pitia hicho kipengele hapo chini. Siyo lazima mwili wote uwe offside…kiungo atakachofunga nacho goli, kikiwa offside siyo goli.Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
View attachment 2675466
Hakuna kitu kama hicho mkuu, itakuwa mara ya mwisho kuangalia mpira ilikuwa miaka ya 2010 kurudi nyumaMpira ukizidi robo tatu inahesabika kamba Mzee baba..