Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Wataleta tu, japo huenda watachelewaUnadhani CAF watazileta huku? Izo timu zao za waarabu zitafungwa daily kwa sheria zile
Kitu ikishapitishwa na FIFA ndiyo dunia nzima hivyoUnadhani CAF watazileta huku? Izo timu zao za waarabu zitafungwa daily kwa sheria zile
Hapo wamewaweza wezi wezi wa kuumia umia bila sababu..wanajijua..kakae nje 1Min ukutane na watu kama Wajeremani😀😀🙂😀Ukiumia unaenda nje unapumzika dakika moja
Ads. Maana yake wakienda kuuza haki za matangazo dau linapanda.Wanapigaje hela kwenye mapumziko ya maji