BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
HahahaDah kweli wanawake hawapendani, yaani uzi toka uanze hakuna mwanamke kachangia chochote
Leo wamechezea za uso, na pengine watakosa kuingia 16 bora...GermanyBINGWA
Vipi Miyazawa, Rose Lavelle na Lindsey Horan?Mpaka sasa wachezaji wenye talents zilizonivutia:
Linda Caicedo ๐จ๐ด
Eugรฉnie Le Sommer ๐ซ๐ท
Sakina Karchaoui ๐ซ๐ท
Kerly Thรฉus ๐ญ๐น
Mary Earps ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Lauren James ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Alessia Russo ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Kim Hye-Ri ๐ฐ๐ท
Alexandra Popp ๐ฉ๐ช
Ramona Bachmann ๐จ๐ญ
Wanawake wanacheza kandanda safi sana. Wapenda football mechi yoyote tunaangalia cha muhimu entertainment na kujifunza mengi zaidi kwenye mchezo huu pendwa.Mpira wa wanawake ni mzuri sana; nawasikitikia ambao hawapati kuangalia mashindano haya kwani yanasisimua sana.
Hatimaye Alessia Russo kapata goli lake la kwanza.Mpaka sasa wachezaji wenye talents zilizonivutia:
Linda Caicedo ๐จ๐ด
Eugรฉnie Le Sommer ๐ซ๐ท
Sakina Karchaoui ๐ซ๐ท
Kerly Thรฉus ๐ญ๐น
Mary Earps ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Lauren James ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Alessia Russo ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Kim Hye-Ri ๐ฐ๐ท
Alexandra Popp ๐ฉ๐ช
Ramona Bachmann ๐จ๐ญ
Uko sahihi wanacheza kwa utulivu mkubwa na wenye urahisi kwa mtazamaji kufatiliaMpira wa wanawake ni mzuri sana; nawasikitikia ambao hawapati kuangalia mashindano haya kwani yanasisimua sana.
Huna lolote sema unaangalia makalio na chuchu zinavyoruka ruka.Wanawake wanacheza kandanda safi sana. Wapenda football mechi yoyote tunaangalia cha muhimu entertainment na kujifunza mengi zaidi kwenye mchezo huu pendwa.