Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

Unauliza bale ni mchezaji nini??

Bale ameshakuwa mchezaji bora wa england.... ozil tokea aanze kucheza soka amewahi kuwa mchezaji bora wa ligi gani?
Mbona unajichanganya ,unaiponda EPL still unatumia benchmark ya Uchezaji bora wa EPL kumsifia Bale over Ozil,sifa kubwa ya Bale ni kukimbia.Kama kwako Bale ni mchezaji bora kuliko Ozil sina haja ya kuendelea mjadala na wewe
 
Tuongelee hii madrid ya kuanzia era ya jose mourinho achana na madrid ya zamani matatizo yake yanajulikana...

Ni timu ipi ya engalnd ina ubavu wa hata kabla ya kucheza naoa iseme ina 60-40 kuifunga madrid...haipo hata moja
hata nikitaja utakubali?..mpaka wakutane,chelsea,arsenal,man city wana uwezo wa kucheza na madrid na wakapata matokeo
 
labda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tu
Mkuu Uingereza ni Makelele,binafsi kamwe sijawahi kuipenda hii ligi ya Uingereza Tangu nizaliwe...nimeanza kushabikia Mpira wa Nje Tangu mwaka 1990,nimeanza kuona ligi za nje tangu mwaka 1996 tena ya Uingereza,nilikuwa naamini hakuna Duniani kama wao,nilipoanza kutoka nje ya Uingereza mwaka 1999,nikagundua kumbe uingereza bure kabisa Dhidi ya Spain hata na Germany.
Wachezaji Bora wa dunia woooote hutoka Spain Au Italy.
hata Mwanasoka bora wa Ulaya hutoka Spain Au Italy.
Hata timu za Taifa za hayo mataifa ni Bora kuliko Uingereza...
Tunaambiwa kuwa ukiwa na Ligi Nzuri na ngumu utakuwa na Timu ya Taifa Nzuri...
sasa angalia kwa Uingereza Timu yao ya Taifa bure kabisa,Tena inaweza kufungwa hata na Belgium.
 
me kwa uelewa wangu unaweza sema labda epl imeonewa au la liga imependelewa ebu tujiulize ni vigezo gani utumika kuchagua mchezaji kuingia kikosi cha dunia hapo me naona ni wanaangalia stastics ya mchezaji kwa mwaka uska sema kweli kwa epl msimu ulioisha wachezaji wengi hawakuwa kwenye viwango vyao halisi na upelekea kukosekana kwenye kikosi ukilinganisha na la liga watu kama neymar messi modrick marcelo itary mtu kama pogba sema kweli walistahili kumbuka kikosi cha mara ya mwisho kabla ya hiki wengi walikuwa wajeruman
 
kwani ligi ya uingereza wanacheza waingereza peke yao?..muwe mnafikir kwa undani kwanza kabla ya kuleta hoja mezani
 
me kwa uelewa wangu unaweza sema labda epl imeonewa au la liga imependelewa ebu tujiulize ni vigezo gani utumika kuchagua mchezaji kuingia kikosi cha dunia hapo me naona ni wanaangalia stastics ya mchezaji kwa mwaka uska sema kweli kwa epl msimu ulioisha wachezaji wengi hawakuwa kwenye viwango vyao halisi na upelekea kukosekana kwenye kikosi ukilinganisha na la liga watu kama neymar messi modrick marcelo itary mtu kama pogba sema kweli walistahili kumbuka kikosi cha mara ya mwisho kabla ya hiki wengi walikuwa wajeruman
modric alikua majeruh muda mrefu msimu ulopita,vidal alipga mpira mwingi tu,chelsea bla matic wasingechukua ubingwa,hazard kapga sana kazi msimu ulopta,unataka kunambia pale bayern hakuna wa kuingia timu ya FIFA?
 
Modric ni kiungo nafasi ambayo epl wapo Hazard,Ozil Sanchez
Mkuu modric Mara nyingi hutumika kama kiungo wa kati,kuna utofauti kidogo na hao watu kwani hao Mara nyingi hutokea pembeni au hukaa nyuma ya mshambuliaji Wa mbele.
 
Huu mjadala bado tu haujaisha. Kuna mijitu mingine mibishi, sijui kama nini. Vitu vipo wazi kabisa bado mnabisha tu! Aaarrrgghhh
Mkuu ni ajabu sana kuna MTU anataka eti KANTE kiungo wa Leicester city aingie kwenye FIFA 11 Amtoe pogba au Luca modric nimeshangaa sana aisee.
 
Angalia transfer Kati ya hizi ligi zinafanyikaje. Ukiwa mzuri EPL ndio utachukuliwa kwenda la liga ilA ukiona mchezaji katokea la liga kuja EPL jua basi kakosa nafasi kwenye team ya kwanza au kashuka kiwango.
 
EPL ni ya mchangani.hata timu yetu ya ndanda fc inaweza kuchukua kikombe chao. La Liga ndio ligi bora daima
 
Hakuna usawa baina yao, inakuaje wanatoa wachezaji sawa katika kikosi cha FIFA – Yupo wapi David Alaba, Giorgio Chiellini – kuna tatizo katika mfumo wa upigaji kura wa kuamua nani anastahili kuingia katika kikosi hicho

Uwepo wa Cristiano Ronaldo katika kikosi una sababu na mashiko ya kueleweka kabisa, lakini Marcelo kuwa beki namba 3 bora au Segio Ramos kuwa beki bora kwa mwaka 2015 – hainingii akilini. Kwanini isiwe mchezaji mmoja kutoka hata Atletico Madrid?
 
FIFA wanavopenda rushwa wala usiutegemee utaratibu wa kura
 
Back
Top Bottom