Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
afu jamaa mwenyewe ana vipesa kigodo tu...mara mia,
Arushaone
Bepari la Kihaya unajisikiaje?
Mtu na pesa zake
naandaa mavazi ya kuingilia ikulu my wii, siunajua kule vimini na vipedo havitakiwi!?
Bishanga ina maana hii hujaiona?
unarukaruka tu..... toa msimamo
naandaa mavazi ya kuingilia ikulu my wii, siunajua kule vimini na vipedo havitakiwi!?
Bepari la Kihaya unajisikiaje?
Mtu na pesa zake
na rais wenu mtakae mchagua 2015 lazima niwe first lady wenuLady doctor unajiandaa uingie ikulu na nani?