Fighting For Bishanga's Money...Mtauwana Mwaka huu...

Ha ha haaaa yule mdada akisikiaaaa....shauri yako? Mkali huyoooo

Love you tooo (i take risk here)

KOKUTONA najua ndo maana nimejificha huku
Asante kwa love yako aise na mimi nakulove love mbaya kabisa
 
Last edited by a moderator:
halafu na wewe kuna sehemu umeonekana makorora

wee jana usiku ulikuwa wapi? kama sio wewe basi mnafanana...........tena mpaka hizo ndizi hapo zinafanana...ila kanenepa kidogo na sharubu nina rangi ya papo.....au ndo unadowea maziwa ya mtoto wa The secretary
 
Last edited by a moderator:

wakiuana usiache kuniita msibani kiwatengu
ili nibebe ndizi na pilipili kwa ajili ya kulia wali mie!!
 
Last edited by a moderator:
Mekumiss binamu Passion Lady sana tuu aise
Ruttashobolwa ninemuona kwenye treni anaenda kashaija bukoba kwenda kusherehekea sikukuu ya mashujaaa na yeye eti ni shujaa maana alipambana na vibaka wa tandale kwa mtogole

heheheeeee!!binamu umeniua mbavu zangu
shujaa wangu Ruttashobolwa ya kweli hayo
ulipambana na vibaka wa kwa mtogole?mbona hujaniaga?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…