hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
heheheeeee!!binamu umeniua mbavu zangu
shujaa wangu Ruttashobolwa ya kweli hayo
ulipambana na vibaka wa kwa mtogole?mbona hujaniaga?
Watalaka wako na wapenzi wako je? Naogopa kudundwa mwenzio......
Binamu Passion Lady alikuwa hajui tarehe yenyewe ya sikukuu ya mashujaa ndo maana akakurupuka
Ruttashobolwa mbona hujamwambia Passion Lady kuwa unaenda kwenye sherehe ya mashujaaa
husbnd kua shujaa wa kwa mtogole mchezo
acha aende akapigiwe mizinga 21 na yeye hahaaa!!
Passion Lady umemuona husband wako alikuwa mstari wa mbele kabisa anasubiri salute na mizinga 21
KOKUTONA nakumiss wewe acha tuu
Passion Lady umemuona husband wako alikuwa mstari wa mbele kabisa anasubiri salute na mizinga 21
KOKUTONA nakumiss wewe acha tuu
hapo home anarudi baada ya miezi 2
eti alikua anasherekea!!huyu mtu huyu?
Passion Lady kwani hujui sherehe za mashujaa huwa zinaendana na nyama choma na bia na lazima wale mashujaa waliwazwe kwa kazi nzito ya kupambana so hapo mtegemee mwezi wa kumi na mbili
KOKUTONA hebu fanya utakiwacho kufanya usishangae kiwatengu na sosoliso wako hapa
Shem Passion Lady swalama..?
Passion Lady kwani hujui sherehe za mashujaa huwa zinaendana na nyama choma na bia na lazima wale mashujaa waliwazwe kwa kazi nzito ya kupambana so hapo mtegemee mwezi wa kumi na mbili
KOKUTONA hebu fanya utakiwacho kufanya usishangae kiwatengu na sosoliso wako hapa
nakutegemea shem languHuyu dawa yake ninaijua Passion Lady.. Ntakumegea..
We sosoliso unataka ndoa yangu ivunjike eeehh
Mamndenyi nishampa pole bana na nimesikia Bishanga yuko nae kwenye kilio so anapata liwazo
Passion Lady hawaruhusiwi kwenda wake halali wa shujaa ila anatakiwa apate kitulizo kule kule