Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

Umeiweka kitaalam sana sana! Wapuuzi hawataelewa watajiona wameshinda ila itakuja ku-backfire vibaya saana
Fanyeni kongamano acheni mbwembwe 🤣🤣🤣🤣

Ingieni barabarani mpaka kieleweke.
 
Mbowe kama anataka mikusanyiko aanzie kwao huko Kilimanjaro kwanza,tuone kama atapata watu...

Kuna wimbi la tatu la Covid 19,kaka yake kafarik sasa anataka nani afe Ili azid kuamin kuwa huu ugonjwa haujitaji masihara
Mbona mkiambiwa chanjo mnagoma, leo tangu wimbi la tatu limeingia, serikali imeweka mikakati gani angalau Kama ile ya kipindi Cha kwanza kwenye jamii?maana
Kama magari yanajaa,VITAKASA MIKONO na maji tiririka kila sehem hatuoni Kama mwanzo, msisitizo wa barakoa hamna, Mnakimbiza mwenye, uko watu wanakusanyika Kama kawa, Sasa kongamano la chadema ndo inakua nongwa?

Na Kama kongamano la chadema ambalo wamekua wakichukua taadhali zote kujikinga, vipi MIKUTANO ya ccm mbona hata sion wakifanya vile,?

Nawambieni taifa tulipo KWA Sasa viongozi wanaitaji tumia busara Sana kuliko mabavu, na ushabiki, sio wakati mzuri mno wa dhiaka KWA makundi mengine kisa umeshika dola, hatufiki KWA mtindo huu
 
Acheni na Tozo za miamala corona iishe kwanza.
 

Chanjo ni hiyar ya mtu,huwez kunilazimisha,

Pia huwez lazimisha mikutano Ili hali unajua fika maradhi haya yanasambaa kwa hiyo mikusanyiko,hiyo siyo akili
 
Safi kabisa ,sasa yule TONDO aka Mbowe arudi tu machame kupumzika ,mjinga mkubwa
 
Yeye alikuwa anakagua Mirad ya maendeleo,na usisahau yule ni president
Sasa president, kisa kukagua miradi ya maendeleo wafikili Corona inamuogopa? tunachosema ni kwamba tuamue Kama taifa hakuna mikusanyiko yoyote, hakuna Cha president, tena ambaye ni kiongonzi wa taifa,

Vinginevyo acheni jificha kwenye kivuli Cha Corona, kisa tu woga wa katiba mpya, INAKUJA NA HAKUNA WA KUZUIA ILISHAKUA
 
Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!...
Kwa hiyo hata mechiya simba na Yanga Kigoma Haitukua na watazamaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…