Naam, ndiye...Huyu mkuu wa Mkoa aliekuja kufungua kongamano la maelfu ya wafuasi wa Mwamposa hapo uwanja wa furahisha au ni mwingine? Kama ni yeye awajibishwe kwa kuweka maisha yetu rehani kwa kuruhusu na kushiriki kongamano la Mwamposa huku akijua Bugando mitungi ya gas haitoshi na Covid 19 bado ni tishio.
Ndio ushangae akili za hawa kengeKwa hiyo hata mechiya simba na Yanga Kigoma Haitukua na watazamaji
Hii ni kali sana. Na mikusanyiko ya bar na kwenye kwenye magari yanayojaa kupita kiasi virusi vinachukuwa likizo! Kiwango cha juu cha upumbavu!Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!....
Mkoa nao lazima uchukue hatua zake sio mpaka wizara, RC yupo sawa mikusanyiko iwepo yenye ulazima tu kwenye misiba na kuwepo na watu wachache ndugu na majirani wachache ma bwana afya na Bi afya wasimamie hilo.Covid guidelines zinatolewa na wizara siyo mkuu wa mkoa.
Ndio ujinga wa CCM kila Mara technology inawaumbuaHuyu mkuu wa Mkoa aliekuja kufungua kongamano la maelfu ya wafuasi wa Mwamposa hapo uwanja wa furahisha au ni mwingine? Kama ni yeye awajibishwe kwa kuweka maisha yetu rehani kwa kuruhusu na kushiriki kongamano la Mwamposa huku akijua Bugando mitungi ya gas haitoshi na Covid 19 bado ni tishio.
Hizo ndiyo guidelines unatoa ?Mkoa nao lazima uchukue hatua zake sio mpaka wizara, RC yupo sawa mikusanyiko iwepo yenye ulazima tu kwenye misiba na kuwepo na watu wachache ndugu na majirani wachache ma bwana afya na Bi afya wasimamie hilo.
Hiyo Safi Sana, maana Jana mwamba ameomba serikali iwe serious na kupambana na Corona, kwa hiyo serikali inamkumbusha wajibu wake kuwaepusha wanachama wake na maambukizi ya Corona.Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!...
Tiketi za Shs 50,000/= bado zinakatwa, je wanataka kuwafanyia utapeli watu wa Mwanza?Sio kweli hata La music litasitishwa, sheria haiwezi kuegemea upande mmoja! Unless ni kweli 🧎
Imeshinda nini sasa we tahira tahira?Indirect Chadema IMESHINDA mjinga mjinga hawezi juwa hii kitu.....
Tiketi za Shs 50,000/= bado zinakatwa, je wanataka kuwafanyia utapeli watu wa Mwanza?
Lazima niwe mburula maana nimezuia upuuzi kama huo wa kuyumbisha nchi kwa maslahi ya wapuuzi wachache wa chadomo..Wewe ni mburula tu
Ndiyo tunakoelekea sababu ya utawala mbovu wa huyu mamaHilo ni Katazo maalum kwa ajili ya cdm ili wasijadili katiba. Ndio maana akasema hakuna kufanya kusanyiko bila kibali. Hilo la Falii Ipupa watasema wamepata kibali. Bila kufanya machafuko sio rahisi kuheshimiana. Mbona watu wanaweza kuchoma mashule, ni kipi kinashindikana kwenye hili?
Nadhani hapa una hoja, ni mwendo wa kulipua ofisi zote za serikali nchi nzima!Hilo ni Katazo maalum kwa ajili ya cdm ili wasijadili katiba. Ndio maana akasema hakuna kufanya kusanyiko bila kibali. Hilo la Falii Ipupa watasema wamepata kibali. Bila kufanya machafuko sio rahisi kuheshimiana. Mbona watu wanaweza kuchoma mashule, ni kipi kinashindikana kwenye hili?
Ndiyo tunakoelekea sababu ya utawala mbovu wa huyu mama