Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wakiwashe tu hakuna namna maana tumechoka aseeBila kila mmoja kupoteza amani sioni lolote likifanyika. Ni nadra viongozi wa kiafrika walioko madarakani kwa shuruti kukubali mazingira yoyote ya haki.
Wewe wala sina muda hata wa kukujibu wala hustahili kujibiwa na mimiLazima niwe mburula maana nimezuia upuuzi kama huo wa kuyumbisha nchi kwa maslahi ya wapuuzi wachache wa chadomo..
Ni kuanza kutengeneza mabomu madogo madogo ya kurushwa kwa mkono, ccm wakifanya mkutano wakutane na vitu vizito. Watakapoona hata wao wako hatarini watatii takwa la wakati. Kubembelezana wakati wengine tunaumizwa hakuvumiliki.Wakiwashe tu hakuna namna maana tumechoka asee
Maza karibu sn nchiNi kuanza kutengeneza mabomu madogo madogo ya kurushwa kwa mkono, ccm wakifanya mkutano wakutane na vitu vizito. Watakapoona hata wao wako hatarini watatii takwa la wakati. Kubembelezana wakati wengine tunaumizwa hakuvumiliki.
Tuombe MUNGU tusifike hukoNani anatoa mafunzo ya kutumia bunduki aisee uwonevu umezidi kwenye hili taifa
Bwana tindo salaam, comedown!! Amani ni Mama wa Maendeleo yetu, tukae mezani na tutafute muafaka.Ni kuanza kutengeneza mabomu madogo madogo ya kurushwa kwa mkono, ccm wakifanya mkutano wakutane na vitu vizito. Watakapoona hata wao wako hatarini watatii takwa la wakati. Kubembelezana wakati wengine tunaumizwa hawakuvumiliki.
Salaam Bwana Morogoro K. Ndugu Migogoro ya Kisiasa utatuliwa katika meza ya majadiliano na si kwa mtutu wa bunduki.Nani anatoa mafunzo ya kutumia bunduki aisee uwonevu umezidi kwenye hili taifa
Ni mpuuzi kama mpuuzi mwingine tu! Eti ni Engineer? Hizi elimu za bongo zinawasaidia kuvaa nguo tuHoja ya Mkuu wa mkoa ni kwa sababu ya corona! Kitu cha kustaajabisha ni kuwa ameruhusu tamasha la muziki la Mkongoman Fally Pupa kuendelea kufanyika.
Hivi hapa ametumia nini kufikiri?
Bwana tindo salaam, comedown!! Amani ni Mama wa Maendeleo yetu, tukae mezani na tutafute muafaka.
Hivi hawaoni kwa kufanya hivi ndio wanavyozidi kuipaisha Chadema?Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!...
Wacha kiherehere utaolewa kabla hata hujavunja ungoMbowe kama anataka mikusanyiko aanzie kwao huko Kilimanjaro kwanza,tuone kama atapata watu...
Kuna wimbi la tatu la Covid 19,kaka yake kafarik sasa anataka nani afe Ili azid kuamin kuwa huu ugonjwa haujitaji masihara
Itakuja kutokea mechi ya mpira hapo CCM KIRUMBA MWANZA, tutakuja kuona huyo RC kama atalikumbuka katazo lake la kuepuka Covid-19, au kama atasema mkusanyiko wa mpira ni muhimu kuliko wa kongamano la Katiba mpya.Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!...
Chadema Wanataka watu wakusanyike ili wajadili katiba mpya lakini hapohapo hawataki watu wakusanyike mana kuna Corona, chadema wanatakiwa kupigwa na kitu kizito kichwani ku-reset akili
Miaka mitano hawakupewa hiyo nafasi ya kubwabwaja ,leo mama kawachia kidogo tu ,wanajamba hadi mbele ya watotoMikusanyiko inazuiwa pale CHADEMA wanapotaka kufanya mikutano tu ila ya CCM haina shida?
ππππHiyo Safi Sana, maana Jana mwamba ameomba serikali iwe serious na kupambana na Corona, kwa hiyo serikali inamkumbusha wajibu wake kuwaepusha wanachama wake na maambukizi ya Corona.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Watatafuta kila njia kujaribu kuzuia moto wa Katiba Mpya, hawatafanikiwaHali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!...