Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

Simba ni kubwa kuliko TFF,waulize jana walivyobandua matangazo ya GSM , uzuri Simba wako smart na kila kitu wanafanya kwa kusimamia sheria,huo mkataba wa GSM isije ikatokea tu TFF wakapewa za uso na CAF
Caf na wadhamini wa ligi za ndani wapi na wapi,?
Ile barua feki ya jana mmeingizwa chaka 🤣
 
Kwa sasa timu mwenyeji(ambayo kwa leo ni Simba)ndio mwenye mechi na mapato yote ni ya kwake ukiondoa zile gharama na makato ya lazima.ndo maana wiki nzima hii Simba ndo waliokuwa wakihangaika kuitangaza hiyo mechi na maeneo zinapopatikana tiketi, Yanga wala walikuwa hawajisumbui kwa vile walikuwa wanajua hakuna watakachopata.
Utaratibu wa sasa mwenyeji anabeba kila kitu
 
Jamani atakama umbumbumbu ni kipaji muwe mnajitathmin, kuwa mwenyeji katika mpira ni kanuni za ki soka, haikufanyi wewe mwenyeji kuwa juu ya FA ya nchi. FA ndio inayo ratibu mechi na Taratibu zote za sehemu inayo chezwa mechi. Iwe mechi za kitaifa au kimataifa wao ndio wanao wajibika Kwanza.
 
Simba ni kubwa kuliko TFF,waulize jana walivyobandua matangazo ya GSM , uzuri Simba wako smart na kila kitu wanafanya kwa kusimamia sheria,huo mkataba wa GSM isije ikatokea tu TFF wakapewa za uso na CAF
Ndio maana mnaitwa MAKOLO......simba ina ukubwa gan kuizd TFF
 
Mbumbumbu ni wale walioaminishwa watashinda kesi CAS.... Na hili pia mtaumbuka maana Tifuatifua wataomba msamaha kabla jogoo hajawika baada ya saa 72
CEO wa Makolo hana nidhamu, anataka kuigeuza TFF kuwa ya Familia ya Dewji kama alivyoigeuza Simba kuwa timu ya familia ya Dewji.
 
Swali jepesi nani alikuwa mwenyeji wa mchezo? hivi mgeni unaweza kumshauri Mama mwenye nyumba juu ya chakula alichowaandalia wageni kama kitatosha wageni ama lah? kama hujatumwa..
Kwa kifupi CEO wa Makolo hana nidhamu anataka kuigeuza TFF kuwa ya Familia ya Dewji kama alivyoigeuza Simba kuwa timu ya familia ya Dewji.
 
Halafu huo uwanja sio mali yenu nyie mbumbumbu na taratibu za maofisa wa bodi na kamati tendaji zipo wazi kabisa kwenye la VVIP na ukitaka kuja na watu wengine basi inabidi uwalipie kiingilio na sio kutumia special tickets za maofisa ndio zitumiwe na hao watt

Uzezeta wenu kwa wahindi ubaki ukouko na sio huku kwetu nyie makolo
 
Kwahyo uwanja wa kwa mkapa ni miliki ya simba na sio serikali ndo mana mnataka kuvunja taratibu?
 
Swali jepesi nani alikuwa mwenyeji wa mchezo? hivi mgeni unaweza kumshauri Mama mwenye nyumba juu ya chakula alichowaandalia wageni kama kitatosha wageni ama lah? kama hujatumwa..
Ukiwa mwenyeji wa mchezo ni katika mapato tu, sio kwamba ndo unakuwa mmiliki wa uwanja na kuanza kuvunja utaratibu uliopo. Uyo Barbara kuja na watoto wa mo haimfanyi kuwa ndo mke halali wa uyo ponjoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…