Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
naona kabwela mlamba miguu wa wahindi kama wewe unaniita maskini.Umeandika kwa hasira na chuki mno,ndio kawaida ya watu maskini ambao mmekosa kila kitu maishani pole sana
Malofa uwa mnajua kujifariji sana,kwa uandishi huu unaonyesha moja kwa moja huna maisha huna elimu,huna exposure,pole sananaona kabwela mlamba miguu wa wahindi kama wewe unaniita maskini.
Naweza nikamuoa hata mama yako na mkeo ili upate mtaji mamayoo zako
Wewe mwenyewe unatamani hata mwanao wa kiume umwire BarbaraCEO wa Makolo hana nidhamu, anataka kuigeuza TFF kuwa ya Familia ya Dewji kama alivyoigeuza Simba kuwa timu ya familia ya Dewji.
Ndio maana ya nguvu moja..... Tunakutetea hadharani tunakukemea sirini....😂😂😂 Makolo tufautisheni Simba Day na Mwananchi Day na mechi ya ligi kama mnaingiaga na watoto wenu VVIP kwenye matamasha sawa ila sio kwenye mechi iliyo chini ya shirikisho na bodi ya ligi tena tiketi ya VVIP inajieleza. Tatizo lenu makolo mna tabia ya kusapoti upuuzi wa viongozi wenu hata kipindi kile Manara yupo kwenu akiboronga mkawa mnamtetea tena kitu kilichonidhihirishia hilo siku anamdhalilisha mwandishi Prisca Kishamba makolo wote mlimtetea hakuna aliyekemea. Hii ndo hulka yenu kutetea upuuzi
Aya sawaNdio maana ya nguvu moja..... Tunakutetea hadharani tunakukemea sirini....
ukweli ndio huo.Ulijuaje ni wa nje wa ndoa, kwanini unakosa adabu kiasi hicho, unaleta mambo ya familia tena kwa kejeli na matusi kwa mtu ambaye humjui na wala yeye hajui kama una exist..na wewe tukikuita mtoto wa changudoa utafurahia
Kiufupi huna cha kufanya uwe sawa na mimi.Malofa uwa mnajua kujifariji sana,kwa uandishi huu unaonyesha moja kwa moja huna maisha huna elimu,huna exposure,pole sana
Aya sawaMapumbu yanawasha kweli au ni ile droo ya jana inawachanganya akili, sasa mama j sikiliza nikuambie kama gsm anataka kuiweka tff mfukoni,, basi na sisi tutaiweka mfukoni, tuone nani sasa ana msuli,
Labda ulikuwa bado hujawa mpz wa simba kuna mwaka mliaminishwa ubingwa wenu upo FIFA natumaini ulikuwa bado hujafika mjini wakati huo.Mbumbumbu ni wale walioaminishwa watashinda kesi CAS.... Na hili pia mtaumbuka maana Tifuatifua wataomba msamaha kabla jogoo hajawika baada ya saa 72
Mwaka upi.. Au na wewe umesimuliwa tu?Labda ulikuwa bado hujawa mpz wa simba kuna mwaka mliaminishwa ubingwa wenu upo FIFA natumaini ulikuwa bado hujafika mjini wakati huo.
Zamani hali hii ilikuwepo kwenye boti za Bakhressa zilizokuwa zinafanya safari ya kwenda Pemba. Ukiwa wa mwisho mwisho kuingia kama sio First class unakuta viti vimejaa vyengine vimewekwa watoto wadogo ambao hawana hata tiketi. Inabidi ukakae kwenye ngazi huko.Safi Sana Tff,hata Mimi nilishawahi kata VIP B nilienda kwa mbwembwe zote taifa,nilichokuta pale ni viti vyote vimejaa! Kwenye viti watu wameweka watoto wao!not Ukweli nilichukia elfu 35,000 niliyotoa kisha nikaenda kusimama kwenye ngazi!?
Kadi ni ya mtu mmoja, kwa nini abebe na familia? TFF angalieni pia na majukwaa mengine.
Kwa Hizi hasira zako, Tik Tak ya Spanyola itakuwa imekuvuruga.