Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

Mshukuru Mungu kwa Yote.....

Yawezekana ni kwa namna ya kipekee sana, Mungu anakuelekeza unakostahili zaidi 🐒

usikate tamaa na wala usilaumu sana.
Take it as an opportunity ya kukufanya uwe vizur zaid, jasiri na mwenye bidii zaidi kwenye maisha, kazi na majukumu mengine 🐒
 
Niliwahi kufukuzwa kwenye kampuni moja nikiwa kama salesman baada ya miaka saba ya kuipigania kampuni katika hali na mali nikikabidhiwa piki piki tu kufanya shughuli zangu.......

Nilikuwa nafanya mauzo makubwa makubwa kwa faida ya kampuni kwa malipo kiduchu Sana........

Mwisho wa siku nikapewa barua ya kufukuzwa kazi kama kibaka..........

Iliniuma sana lakini nikapiga moyo konde........

Wateja wakawa bado wananitafuta kutoa oda zao.....nikawaa nakwambia ukweli......kutokana na uaminifu wangu na uchapakazi baadhi ya wateja walisikitika sana na baadhi Yao wakanipa kazi ya kuwakusanyia mizigo Yao wakija kufunga mzigo huku mjini.......wananiwekea pesa kwenye akaunti yangu na mimi nazunguka kuwatafutia bidhaa na kuwapelekea kwa transporter wao......

Nashukuru Mungu mpaka leo naishi vizuri bila kero wala bughudha na muda mwingi niko free na napata pesa mara kumi ya ule mshahara wangu nikiwa nimeajiriwa.........

Rai yangu ni kwamba kila changamoto ni mlango wa mafanikio, kaza moyo endelea na harakati za maisha, huzuni na majuto vinakufanya usione mlango uliowazi mbele yako.......
 
Kosa umefanya, bosi kakuwahi kabla haujatia hasara. Imagine huo mpango ungefanikiwa, ingekuwa mlango kwa mipango mingine miovu dhidi ya kampuni. Sikupi pole, kwakuwa umepata kile ulichostahili. Nakushauri tu utafute utaratibu mwingine wa kuleta mkate mezani.
 
Pole

Hebu tafuta sehem tulivu sana!chumbani pekeyako good!mwambie ukweli mungu wako mlilie Kwa sana.Mwambie umekosea sana,mwambie akupe kianzio na aondoe panicking ya nafsi na roho!akupe utulivu kwanza!!!

Halafu!ridhika na mshahara wako mkuu,Mi nilishamwambia mungu nataka fedha inayotoka kwenye asili,sio mgongo was serikali au ofisi au vyovyote vile!!

Ndio maana nilishakataa kabisa kutumia bidhaa au mabaki ya taasisi kumalizia ujenzi kama wafanyavyo jamaa!!najua ipo siku yatawageuka wenyewe!!
 
kwa hili lako naamini hata kwangu litapita tu shukrani sana
 
kulingana na maelezo yako,taratibu za kufukuzwa kazi hazikufuatwa.kwanza ulipaswa upewe 3 warning letters,then uitwe kwenye kikao cha nidham.baada ya kusikilizwa kamati iamue kuku ondoa kazini.ndipo unapewa stahiki zako.kama hawajafuata,then nenda CMA utakuja kunishukuru baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…