ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sema huna cheti,mifumo na watu ndio wadudu gani?sina mifumo sina watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema huna cheti,mifumo na watu ndio wadudu gani?sina mifumo sina watu
ndio nacho kiona kwa sasa watakuwa na sherehe kubwa sanaMkuu usnitch Upo na unaumiza weng u....mpaka kampuni ku'hire mtu mwingine kuchukua position yako ina maana it is over. Move on kwa hustle za kitaa.
Wabaya wako muda huu wanagonga cheers
Wanoko sana haoKama deal ulifanya na mhaya,jaluo au msukuma hapa Sina Cha kukushauri mkuu...hustle tu upate mishe nyingine
Acha kabisa mkuu...afu unakuta wanakuchekea chekea kumbe wanajua walichokifanyaWanoko sana hao
Mshukuru Mungu kwa Yote.....Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili
Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa kazi sababu ya wizi mara alikuwa jeuri sana mambo mengi mabaya tunawazungumzia bila kujari upande wake upo vipi
Leo plus yamenikuta nilikuwa najiona ni mfanyakazi bora kumbe sio nilikuwa nafanya vitu kumfurahisha boss wangu kumbe hajari natumia nguvu zangu nyingi kuinyanyua hii kampuni lakini jitihada zangu hazijafua dafu hatimae leo naondoka nikiwa sijuhi naanzia wapi na naanza na nini nachoshukuru ni kodi ya nyumba nililipa mwaka mzima jambo nalo shukuru sana maan itanisaidia kupunguza msongo wa mawazo ninao anza nao mdaa huu
tukate long story short mikakati ya mimi kuondoka hapa ofisini kwa njia ya figisu ilianza mapema mwaka huu mwezi wa pili kama sikosei kuna deal lilitua ofisini lilikuwa la moto boss akatukabizi hili deal mimi na wafanyakazi wenzangu wa wili jumla watatu ilikuwa ni biashara ya ku export na ku import hili deal tulilimaliza vzr sana lakini kama ujuavyo katika fursa lazima maslahi binafsi yazingatiwe bc hapa ndipo nilipo bugi baada ya kuleta idea kwa wenzangu kwamba hapa tunaweza ongezea na mali zetu binafsi zikaingia kirahisi alfu tutazimbaza kimya kimya baada ya ku discuss ikaonekana ni ngumu ko idea yangu ikafa bila kutendeka kumbe hizi taarifa zimefika kwa boss bila kujua nani kafikisha ila boss aligusia tu aka tulia hakuwai lizungumzia tena mbaka leo napo pewa barua ya kusimamishwa naingia ofisini baada ya mapumziko ya sikuku za eid naitwa kwa boss naambiwa kuna mfanyakazi atakuja leo kwenye ofisi yako mpe maelekezo ya muhimu ya kiutendaji then uje ofisini.
nimekuja kwenu wana jukwa nikiamini nyie mnasuruhisho kwa sasa nifanye nini kama mpango wa kuingiza bidhaa zangu kupitia mgongo wa ofisi ni kweli nakili nilifanya kosa nasioni kufanya kosa moja na faa kuitwa shetani na hata boss nilishwai ongea nae private jambo hili nili kosa tulifix
Watu hua mnaongea kirahisi.Pole maisha lazima yaendelee,keep fighting,ulitaka ufie kwenye hilo kampuni?don't be a crying baby,songa mbele.
Sana sana MJALUOWanoko sana hao
PoleBila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili
Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa kazi sababu ya wizi mara alikuwa jeuri sana mambo mengi mabaya tunawazungumzia bila kujari upande wake upo vipi
Leo plus yamenikuta nilikuwa najiona ni mfanyakazi bora kumbe sio nilikuwa nafanya vitu kumfurahisha boss wangu kumbe hajari natumia nguvu zangu nyingi kuinyanyua hii kampuni lakini jitihada zangu hazijafua dafu hatimae leo naondoka nikiwa sijuhi naanzia wapi na naanza na nini nachoshukuru ni kodi ya nyumba nililipa mwaka mzima jambo nalo shukuru sana maan itanisaidia kupunguza msongo wa mawazo ninao anza nao mdaa huu
tukate long story short mikakati ya mimi kuondoka hapa ofisini kwa njia ya figisu ilianza mapema mwaka huu mwezi wa pili kama sikosei kuna deal lilitua ofisini lilikuwa la moto boss akatukabizi hili deal mimi na wafanyakazi wenzangu wa wili jumla watatu ilikuwa ni biashara ya ku export na ku import hili deal tulilimaliza vzr sana lakini kama ujuavyo katika fursa lazima maslahi binafsi yazingatiwe bc hapa ndipo nilipo bugi baada ya kuleta idea kwa wenzangu kwamba hapa tunaweza ongezea na mali zetu binafsi zikaingia kirahisi alfu tutazimbaza kimya kimya baada ya ku discuss ikaonekana ni ngumu ko idea yangu ikafa bila kutendeka kumbe hizi taarifa zimefika kwa boss bila kujua nani kafikisha ila boss aligusia tu aka tulia hakuwai lizungumzia tena mbaka leo napo pewa barua ya kusimamishwa naingia ofisini baada ya mapumziko ya sikuku za eid naitwa kwa boss naambiwa kuna mfanyakazi atakuja leo kwenye ofisi yako mpe maelekezo ya muhimu ya kiutendaji then uje ofisini.
nimekuja kwenu wana jukwa nikiamini nyie mnasuruhisho kwa sasa nifanye nini kama mpango wa kuingiza bidhaa zangu kupitia mgongo wa ofisi ni kweli nakili nilifanya kosa nasioni kufanya kosa moja na faa kuitwa shetani na hata boss nilishwai ongea nae private jambo hili nili kosa tulifix
kwa hili lako naamini hata kwangu litapita tu shukrani sanaNiliwahi kufukuzwa kwenye kampuni moja nikiwa kama salesman baada ya miaka saba ya kuipigania kampuni katika hali na mali nikikabidhiwa piki piki tu kufanya shughuli zangu.......
Nilikuwa nafanya mauzo makubwa makubwa kwa faida ya kampuni kwa malipo kiduchu Sana........
Mwisho wa siku nikapewa barua ya kufukuzwa kazi kama kibaka..........
Iliniuma sana lakini nikapiga moyo konde........
Wateja wakawa bado wananitafuta kutoa oda zao.....nikawaa nakwambia ukweli......kutokana na uaminifu wangu na uchapakazi baadhi ya wateja walisikitika sana na baadhi Yao wakanipa kazi ya kuwakusanyia mizigo Yao wakija kufunga mzigo huku mjini.......wananiwekea pesa kwenye akaunti yangu na mimi nazunguka kuwatafutia bidhaa na kuwapelekea kwa transporter wao......
Nashukuru Mungu mpaka leo naishi vizuri bila kero wala bughudha na muda mwingi niko free na napata pesa mara kumi ya ule mshahara wangu nikiwa nimeajiriwa.........
Rai yangu ni kwamba kila changamoto ni mlango wa mafanikio, kaza moyo endelea na harakati za maisha, huzuni na majuto vinakufanya usione mlango uliowazi mbele yako.......