Figo kuanza kufeli: Fahamu dalili na tiba yake ya mimea

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,814
Reaction score
2,738
WhatsApp Image 2026-08-06 at 10.33.55.jpeg

Dozi hii tuloandaa ni elf 50
 
Cc. MENEMENE TEKERI NA PERESI

Mimi ntakuja ku CEMENT hoja zotee na kufanya final conclusion.

Naomba kiwasilisha
Sio kweli kwamba pombe Kali ndiyo zinaosababisha Figo kufeli ila tunasema zinapelekea ,na hii inatofautiana kwa mtu na mtu kulingana na muda wa matumizi ya mtu husika namaanisha kuna mtumiaji wa muda mrefu na muda mfupi ni ngumu kuwagroup katika kundi moja lenye uwezekano wa kuathirika na kufeli kwa Figo,

Sasa nikuambie kufeli kwa Figo kunatokea vipi kutokana na utumiaji wa pombe kwa kusema ni nini kinatokea mlevi mwenzangu

Pombe Kali inatabia ya kuleta upungufu wa maji mwilini kwa kuathiria homoni inayoitwa (ANTIDIURETIC HORMONE ) hali inayopelekea sisi walevi kukojoa kuliko kawaida pale tukiwa viti virefu basi moja kwa moja mtiririko wa damu kwenda kwenye Figo ni lazima upungue hali inayopelekea tufigo twetu tuanze kufanya kazi kwa shida mno

Na hiyo hali ya kuathirika kwa bwana ADH basi hapo usione ajabu hata maji mwilini kuwa machache mno sababu kahormone kaeshaathirika na hapa ndiyo bwana Figo muda mwingine hujikuta anafeli ghafla maana hana maji ya kutosha wala mzunguko wa damu ulio mzuri .

Lakini sababu nyingine mlevi mwenzangu wewe jinsi unavyokuwa bingwa wa pombe ndivyo unavyoelekea kwenye shinikizo la damu sababu unakuwa umeitumia muda mrefu na sasa yanakuwa mazoea na hili linaathiri ufanyaji kazi wa Figo kwenye kuchuja damu

Lakini jinsi unavyotumia pombe kwa muda mrefu na kuifanya iwe mazoea hasa ulevi mbwa wa mimi na wewe ni rahisi kuathiri Ini ,hii kitaalamu tunaita CIRRHOSIS ,hali ya ini kuharibika ni dhahiri kabisa litashindwa kufanya kazi na hapo tutapata kakitu tunaita HEPATORENAL SYNDROME ,Ndugu yangu kipenzi mlevi mwenzangu haka ni ka hali ambako tayari madhara ya kuharibika kwa ka Ini kanapelekea kufeli kwa kafigo kako kaka .

Lakini pia bwana mlevi hapo Mikese vile unavyotimia kapombe kwa muda mrefu ni wazi lazima uathiri uwiano takiwa katika kwamwili kako hasa wa madini

Sisi bina wa adamu tuna madini mwengi ambayo kuwepo mwilini inabidi yazingatie sana uwiano wake ili kamwili kawe na afya yake ila sasa uwiano ukaithiriwa lazima Figo nayo iathirike ,uwiano wenyewe ni wa madini kama potassium, na magnesium na wenzake ambao siko hapa kuwaeleza kwa leo

Unajua huku tumehangaika ila kazi ya Figo mpaka inakutwa na haya yote basi ni kwakuwa yeye ni mzee wa kuchuja taka za mwili hasa kwenye kadamu ketu ndugu mlevi mwenzangu hivyo matumizi ya ugimbi muda mrefu ni dhahiri shahiri lazima uathiri ufanyaji kazi wa kuchuja taka kwenye damu maana kafigo lazima kalemewe ni hapo tunakuja kusema Figo imefeli haifanyi kazi yake tena kwa ufanisi au imekufa mazima kilichobaki ni kufanya usafishaji

Mlevi weeeeeee sasa nini kitakuambia wewe kwisha habari yako

Tumiguu tutavimba sana

Mkojo utakuwa mwingi kuliko kawaida tena muda mwingine bila hata kunywa kimiminika

Uchovu usio wa kawaida

Mkojo unakuwa na povu na wakati mwingine damu kabisa

Shinikizo la damu linapanda kuliko kawaida

Kichefuchefu cha mara kwa mara na finally kupoteza hamu ya kula kabisa

Nimekutisha mno mlevi wakati wikiendi inakaribia si ndivyo ? Hapana

Kunywa mara moja moja hakuathiri Figo ila unywaji wa kiasi kikubwa ndiyo mwanzo wa madhira haya kaka mlevi ,ulevi wa mara kwa mara ,au unajkuta ni mlevi wakati ambao tayari wewe una shinikizo la damu ,una kisukari ndugu rafiki lazima yakukute tu

Kwa leo mimi naishia hapa ila nakutuma ukanywe kistaarabu pasina kusahau kunywa maji mengi wakati wa kukata ugimbi na pia jitahidi kunywa kiasi kidogo kulingana na hali yako ya afya na uzito wako .

Siko hapa kusema uache kunywa pombe maana hata mimi sio tu kuwa niko tayari kuacha ila siwezi kuacha leo wala kesho maana pombe na mimi na pombe ni MENEMENE TEKERI NA PERESI
hivyo yeyote na atende kulingana na kile anachoona ni sahihi .

Nimeeleza interval au duration ya kunywa kwa muda mrefu na pia pombe nyingi kwa muda mfupi lakini nimeeleza hapo awali kuwa madhara yanaweza kutofautiana kati ya mtu na mtu maana pombe mimi mwenzenu nilianza nikiwa darasa la sita miaka hiyo nabebwa na wanangu kwenda club na mpaka leo sina shida yoyote nadunda hivyo kunywa for your own risk .

Ahsante daktari wangu Dr am 4 real PhD tuendelee kuzishusha kaka ,karibu Makunduchi beach tushushe nyavu .

Nyoka niko hapa
 
Dokta.

Hebu tueleze kwa ufasaha.
Tumesikia kuwa pombe kali zinaharibu figo. Kivipi?.

cc min -me.
Alafu Dr , kuna huyu Dr mwenzako Dr am 4 real PhD anatuhamasisha kuchanganya Kilimanjaro Lager na Konyagi . Je ni sawa?.
POmbe inaathiri homoni ya kutunza maji na kufanya ukojoe sana(ADH).Kwenye kukojoa sana huku mwili hauna maji ya kutosha, ndo chujio la mwili(a.k.a figo) linazidiwa. Kumbuka taarifa za haya magonjwa yasiyoambukiza kama figo, cancer, kisukari, presha wagonjwa wanaulizwa mitindo yao ya maisha ,umri, wanakoishi. Kwa hiyo kwenye graph za jumla ndo wanywa pombe, wenye uzito mkubwa ndo makundi yanayojitokeza kwa wingi.,kwa figo tunaita CKD.
 
Sio kweli kwamba pombe Kali ndiyo zinaosababisha Figo kufeli ila tunasema zinapelekea ,na hii inatofautiana kwa mtu na mtu kulingana na muda wa matumizi ya mtu husika namaanisha kuna mtumiaji wa muda mrefu na muda mfupi ni ngumu kuwagroup katika kundi moja lenye uwezekano wa kuathirika na kufeli kwa Figo,

Sasa nikuambie kufeli kwa Figo kunatokea vipi kutokana na utumiaji wa pombe kwa kusema ni nini kinatokea mlevi mwenzangu

Pombe Kali inatabia ya kuleta upungufu wa maji mwilini kwa kuathiria homoni inayoitwa (ANTIDIURETIC HORMONE ) hali inayopelekea sisi walevi kukojoa kuliko kawaida pale tukiwa viti virefu basi moja kwa moja mtiririko wa damu kwenda kwenye Figo ni lazima upungue hali inayopelekea tufigo twetu tuanze kufanya kazi kwa shida mno

Na hiyo hali ya kuathirika kwa bwana ADH basi hapo usione ajabu hata maji mwilini kuwa machache mno sababu kahormone kaeshaathirika na hapa ndiyo bwana Figo muda mwingine hujikuta anafeli ghafla maana hana maji ya kutosha wala mzunguko wa damu ulio mzuri .

Lakini sababu nyingine mlevi mwenzangu wewe jinsi unavyokuwa bingwa wa pombe ndivyo unavyoelekea kwenye shinikizo la damu sababu unakuwa umeitumia muda mrefu na sasa yanakuwa mazoea na hili linaathiri ufanyaji kazi wa Figo kwenye kuchuja damu

Lakini jinsi unavyotumia pombe kwa muda mrefu na kuifanya iwe mazoea hasa ulevi mbwa wa mimi na wewe ni rahisi kuathiri Ini ,hii kitaalamu tunaita CIRRHOSIS ,hali ya ini kuharibika ni dhahiri kabisa litashindwa kufanya kazi na hapo tutapata kakitu tunaita HEPATORENAL SYNDROME ,Ndugu yangu kipenzi mlevi mwenzangu haka ni ka hali ambako tayari madhara ya kuharibika kwa ka Ini kanapelekea kufeli kwa kafigo kako kaka .

Lakini pia bwana mlevi hapo Mikese vile unavyotimia kapombe kwa muda mrefu ni wazi lazima uathiri uwiano takiwa katika kwamwili kako hasa wa madini

Sisi bina wa adamu tuna madini mwengi ambayo kuwepo mwilini inabidi yazingatie sana uwiano wake ili kamwili kawe na afya yake ila sasa uwiano ukaithiriwa lazima Figo nayo iathirike ,uwiano wenyewe ni wa madini kama potassium, na magnesium na wenzake ambao siko hapa kuwaeleza kwa leo

Unajua huku tumehangaika ila kazi ya Figo mpaka inakutwa na haya yote basi ni kwakuwa yeye ni mzee wa kuchuja taka za mwili hasa kwenye kadamu ketu ndugu mlevi mwenzangu hivyo matumizi ya ugimbi muda mrefu ni dhahiri shahiri lazima uathiri ufanyaji kazi wa kuchuja taka kwenye damu maana kafigo lazima kalemewe ni hapo tunakuja kusema Figo imefeli haifanyi kazi yake tena kwa ufanisi au imekufa mazima kilichobaki ni kufanya usafishaji

Mlevi weeeeeee sasa nini kitakuambia wewe kwisha habari yako

Tumiguu tutavimba sana

Mkojo utakuwa mwingi kuliko kawaida tena muda mwingine bila hata kunywa kimiminika

Uchovu usio wa kawaida

Mkojo unakuwa na povu na wakati mwingine damu kabisa

Shinikizo la damu linapanda kuliko kawaida

Kichefuchefu cha mara kwa mara na finally kupoteza hamu ya kula kabisa

Nimekutisha mno mlevi wakati wikiendi inakaribia si ndivyo ? Hapana

Kunywa mara moja moja hakuathiri Figo ila unywaji wa kiasi kikubwa ndiyo mwanzo wa madhira haya kaka mlevi ,ulevi wa mara kwa mara ,au unajkuta ni mlevi wakati ambao tayari wewe una shinikizo la damu ,una kisukari ndugu rafiki lazima yakukute tu

Kwa leo mimi naishia hapa ila nakutuma ukanywe kistaarabu pasina kusahau kunywa maji mengi wakati wa kukata ugimbi na pia jitahidi kunywa kiasi kidogo kulingana na hali yako ya afya na uzito wako .

Siko hapa kusema uache kunywa pombe maana hata mimi sio tu kuwa niko tayari kuacha ila siwezi kuacha leo wala kesho maana pombe na mimi na pombe ni MENEMENE TEKERI NA PERESI
hivyo yeyote na atende kulingana na kile anachoona ni sahihi .

Nimeeleza interval au duration ya kunywa kwa muda mrefu na pia pombe nyingi kwa muda mfupi lakini nimeeleza hapo awali kuwa madhara yanaweza kutofautiana kati ya mtu na mtu maana pombe mimi mwenzenu nilianza nikiwa darasa la sita miaka hiyo nabebwa na wanangu kwenda club na mpaka leo sina shida yoyote nadunda hivyo kunywa for your own risk .

Ahsante daktari wangu Dr am 4 real PhD tuendelee kuzishusha kaka ,karibu Makunduchi beach tushushe nyavu .

Nyoka niko hapa
Asante kaka nyoka umemaliza Kila kitu

Mimi nipo na Serengeti lemon yangu hapa na baliziiiii
 
Back
Top Bottom