Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 4,663
- 9,335
wa stendi je ratiba ya chakula iliaje kwa siku.Dawa zipo sio vidonge wala nini ni chakula tuu.
Mgonjwa mchemshie choroko tia chumvi kidogo sana mpe atafune hivyo hovyo ndani ya wiki 2 leta majibu hapa.
Nasema hivyo baada ya ndugu yetu kifurli hivyo zilifikia 80 asilimia kuoza kabisa kaja dolta mmoja wa kihindi kashauri hivyo mgonjwa tumfanya hivyo kwa sasa ni mzima kama hajawahi ugua vile