ila Kuna code moja inabidi tuelewe.
Ukinywa bia usichanganye na Vinywaj vikali vyovyote au wine na vice versa. Hata kama umekula kilo 1 ya nyama.
Chakula kitafanya usitepete mapema , ila unashangaa uko bar na unatepeta saa 10 usiku. Na unajikuta saa 12 alfajiri unarudi home alaf kuna watu wanajiandaa kwenda kazini.
Ni fedheha 😊😊😊.
Siku ya spirit. Kula nyama zako. Kunywa spirit zako. Enjoy waduanzi wengine waliotepeta.
Ukichanganya tu. Ww ndio utakuwa mduanzi.
Siku ya bia kunywa bia zako. Tumbo likijaa. Kakojoe. Mambo yakunywa Tikila kuondoa gesi. Utashangaa unapewa Jameson. Alaf baada ya dk kadhaa. Utaona matokeo.
Au nakosea ndugu zangu ?
min -me Dr am 4 real PhD Seran.