Figo kuanza kufeli: Fahamu dalili na tiba yake ya mimea

Ahsante sana Daktari, pia Dr min -me aje ajikumbushe hapa,wenda amesahau hii Mechanism....
 
Mi mdau wa wine tu bwa shee,zile imported kutoka south lakini..siyo mataputapu ya wine yanayo tengenezwa hapa dom.

Wine ya kibongo iki settle kwa chini unakuta machicha yaani
Daktari unafanya vipi kazi kwa weledi bila mitungi ya maana bwashee 🤔
 
Chai nyingi ukwel mchache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…