Figo kuanza kufeli: Fahamu dalili na tiba yake ya mimea

Ukipelekwa Scotland bila hiari. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu nilipa mzinga na pikipiki lile baja kubwa , suruali ya jinsi ile ngumu ilikua crazy nawakati hizo swaga sifagilii๐Ÿ˜… ilikua Christmas moja fulani nyumbani , nafanikiwa kufika home ilikua kisanga mbaya๐Ÿ˜… hiyo kitu nilichanganya na nyagi na bia
 

ww ni profesa. Nimekuelewa Prof.
Dr Dr am 4 real PhD alituelekeza sehem sahihi ya kupata huduma.
 

ila Kuna code moja inabidi tuelewe.

Ukinywa bia usichanganye na Vinywaj vikali vyovyote au wine na vice versa. Hata kama umekula kilo 1 ya nyama.

Chakula kitafanya usitepete mapema , ila unashangaa uko bar na unatepeta saa 10 usiku. Na unajikuta saa 12 alfajiri unarudi home alaf kuna watu wanajiandaa kwenda kazini.
Ni fedheha ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

Siku ya spirit. Kula nyama zako. Kunywa spirit zako. Enjoy waduanzi wengine waliotepeta.
Ukichanganya tu. Ww ndio utakuwa mduanzi.

Siku ya bia kunywa bia zako. Tumbo likijaa. Kakojoe. Mambo yakunywa Tikila kuondoa gesi. Utashangaa unapewa Jameson. Alaf baada ya dk kadhaa. Utaona matokeo.

Au nakosea ndugu zangu ?
min -me Dr am 4 real PhD Seran.
 
Uko sahihi kabisa shemela!
 
Maana yake hii ni dawa maalumu kwa mtu ambaye figi zinaanza kufeli.

Haiwezi kuwa na msaada kwa mgonjwa ambaye tayari figo zake zote zimefeli?
Dawa zipo sio vidonge wala nini ni chakula tuu.
Mgonjwa mchemshie choroko tia chumvi kidogo sana mpe atafune hivyo hovyo ndani ya wiki 2 leta majibu hapa.
Nasema hivyo baada ya ndugu yetu kifurli hivyo zilifikia 80 asilimia kuoza kabisa kaja dolta mmoja wa kihindi kashauri hivyo mgonjwa tumfanya hivyo kwa sasa ni mzima kama hajawahi ugua vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ