Figo kuanza kufeli: Fahamu dalili na tiba yake ya mimea

Tatizo huyu wa kwetu hata kula ni mtihani.
 
Uko sahihi kabisa shemela!
Yaan shem , Mm juzi juzo hapa.
Last two weeks.
Nimekunywa zangu Castle lager ndogo, ila nilikuwa na mafua. Na mm huwa sipend dawa. Nayaacha yapone yenyewe 3 days hivi.

Sasa nikajidanganya nikanywa Konyagi . Toti zikazaa toti 😊😊😊.
Kitimoto na ugali tumeshindilia saa 2 usiku.

Niko na wana. Tukajitia ndimu. Tukahamia Joy es lava.
Mimi saa 9 usiku ndio Halmashauri ya Ubongo wangu ndio ikaniambia ni muda wa kwenda kulala 😊😊😊.

Nikawatoroka hata sikuaga mtu.

Wale majamaa waliondoka saa 2 asubuhi ☺☺☺. Na wana Wake wa ndoa.
 
Mimi nikichanganya brand ndio kidogo inanitikisa, ila sio beer na whiskey nakata freshy tu!

Ila shem hizi ndoa zenu mmeoa wake wapole Kiasi hiki? Mbona kama sitoweza kuvumilia haya mambo!🙆🏽‍♀️
 
Mimi nikichanganya brand ndio kidogo inanitikisa, ila sio beer na whiskey nakata freshy tu!

Ila shem hizi ndoa zenu mmeoa wake wapole Kiasi hiki? Mbona kama sitoweza kuvumilia haya mambo!🙆🏽‍♀️

Nisiongelee Ndoa za washkaj zangu.
Ila siku za namna hizi tunaaga tunaenda sehem flani. Na akitaka kuja aje. Maana atakuta hakuna wanawake.

Tukihama na Ukilewa na ukisomba mwanamke huko. Sisi tunakana kwa shemeji na
Tunasema tuliachana na ww uko vizur na hukuwa na mwanamke ☺☺☺.

Bro Code hii.

Na Hilo janga lako.

ila kukaa bar hadi saa 9 sio kuwa unafanya Umalaya.
 
Huna utaalamu huo, ungeshakuwa tajiri mkubwa Sana duniani.
Dr gani unangoja watu waanze dialysis ndo uwatibu?
Alifanikiwa babu wa Loliondo tuu.
nielekeze mkuu jinsi ya kupandisha sauti ya dereva alopona baada ya kuanza dialysis
 
Shem siongelei umalaya hapa unajua!

Naongelea hayo makubalino yenu ya kuelewa mapaka saa 9 au asubuhi!

Halafu kwenye uzi wa shem darling nimekuita ujue😝
 
Haaaahaa ☺️ 😁

Now nimeanza toka kitambi cha BIA hivi nyinyi mna deal nacho vipiii
 
Mkuu hii dawa inaclaim kutibu ugonjwa mkubwa ambao serikali inatumia pesa nyingi sana kwenye eneo hilo. Je imeidhinishwa na chombo chochote cha serikali? Je mkuu kuna ushahidi wowote kuwa inatibu ugonjwa wa figo? Wazungu wametuaminisha kuwa mtu mwenye Chronic Kidney Disease (CKD) matibabu yake ni kufanyiwa upandikazaji wa figo.​
 
Tukiacha unywaji wa Pombe kupita kiasi tatizo la Figo linaweza kusababishwa na kitu gani kingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…