Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Aya ya mwisho nimetafakari sana[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hawa jamaa ni ndugu zetu kabisa.

Mungu ibariki Tanzania
 
Kuna mambo hayako sawa.

1. Wazungu walifanya biashara ya utumwa afrika mashariki miaka IPI?
2. Vipimo vya Dna vinaweza Sema kweli kama hao jamaa vinasaba vyao vina uhusiano na wakaazi wa eneo la hilo ziwa Tanganyika
3. Je, wakati bababu zao au mababu wa mababu zao wanachukuliwa eneo la hilo ziwa Tanganyika hilo ziwa lilikuwa linaitwa hivyo? Lasivyo Leo hii watasemaje wametoka eneo la ziwa Tanganyika.

Etc
 
Mkuu fafanua tunakuaje wa mwisho duniani??
 
Mkuu fafanua tunakuaje wa mwisho duniani??
Mkuu unatafuatilia habari za dunia,kama hufatilii juzi tu umetolea utafiti wa nchi gani ina watu wenye furaha duniani,tafuti hizo hutolewa nafikiri kila mwaka kama sikosei,Nchi za scandinavia ndio maisha yote ndio zinachukua nafasi ya kwanza has Denmark na Norway,..

Mwaka huu Finland ndio nchi bora kuishi duniani naona yule mwandishi wa habari kaotea kwenda kuomba ukimbizi Finland,katika tafiti ya mwaka huu Tanzania ni ya mwisho duniani kuwa na watu wenye furaha..,unaonaje hiyo

Kuna mengi tu Tanzania watu wake wanadhibitiwa kuanzia uhuru wa kuvaa,uhuru wa kuongea,uhuru wa kujadili,uhuru wa kuamua nk...Mkuu hivi sasa Tanzania ni mfano wa "jahanam",kama unakuwa unafikiria na kuwaza motoni kutakuwa vipi basi angalia Tanzania ndio mfano wa motoni..

Kitu wanachoashau watawala(CCM) kuwa nchi haiwezi kupata maendeleo kama watu wake hawana furaha,,,,Nchi ya Tanzania inaangamia kwasababu tu kikundi cha watu fulani wanang'ang'ania madaraka,wanafanya kila wanachofanya ili wabaki madarakani...,Mungu ibariki Tanzania
 
Tafiti zina walakkni zile...hao watafiti waje waseme wametumia vigezo gani??? Haingii akilini eti baadhi ya nchi zenye vita zina furaha kuliko sisi....sio kila kitu tukibebe kama kilivyo maana nchi zinatofautiana huwez kuwa na vigezo sawa kupima furaha ya wananchi wa kila taifa
 
Kaka,matibabu bure,elimu bure,unapewa pesa(welfare) kwa wale wasiokuwa na kazi,maisha bora kwa wazee,kila raia lazima awe na wiki tano za mapuziko kwa mwaka,kwa wale akina mama wene watoto wanalipwa kiasi fulani cha pesa kwa mwezi za kwa ajili ya kuwalea watoto wao na matumizi ya kwa kawaida kwa watoto,kama vile pempas nk ...,kama unafanya kazi ni mwisho masaa 8 kwa siku,haki za kuandamana,haki za vyama vya wafanyakazi kuandamna nk..

Sasa nambie serikali ya Tanzania ina takwimu ya vijana wangapi wa kitanzania hawana kazi,!!??Juzi nimesoma sehemu alikuwa raisi wa Tanzania Benjamini Mkapa anataka serikali iingilie kati kwanini shule za serkali hazifanye uzuri kielimu..

Tembea kaka ujionee,watanzania wamelala,lakini iko siku wataamka,...Tanzania ni nchi ya mwisho duniani
 
Nchi inaweza kuwa na vita lakini wananchi wake wanafuraha,vita sio kigezo cha kufanya raia asiwe na furaha,..,inawezekna raia akawa ana mashaka ya vitu fulani lakini furaha ya kuwa raia anakuwa nayo,watanzania hawana furaha na maisha yao

Kuna vigezo vingi vya kuchagua nchi yenye raia wenye furaha,Tanzania haina hata kigezo kimoja,tumeshindwa na nchi kama Somali...
 
Nchi inaweza kuwa na vita lakini wananchi wake wanafuraha,vita sio kigezo cha kufanya raia asiwe na furaha,..,inawezekna raia akawa ana mashaka ya vitu fulani lakini furaha ya kuwa raia anakuwa nayo,watanzania hawana furaha namaisha yao
Ndugu wasyria wanakimbilia kwa maelfu ulaya utasemaje kuna furaha.
 
Wasyria bado wanaipenda nchi yao,wanapigana kuikomboa nchi yao,...,moyo wa kuipenda nchi yao ni furaha tosha...lakini Mkuu,naona kama unashindwa kufahamu nini hasa furaha kwa raia,Tanzania watu wanadhibitiwa mpaka nini wana kivaa...,karibu watanzania wote watakuwa wanavaa madira,wake kwa kiume😀
 
pia kama sijakosea hakuna visa kati ya Tanzania na Fiji wanatumia english kama lugha mama.
Mwaka fulani nilimsikia bibi mmoja wa Diego Garcia akihojiwa na BBC juu ya kesi yao ya kuhusu kuhamishwa maeneo yao kupisha kambi za jeshi la ********** kisiwani humo.Alitumia neno "Ndabughaa" la Kizanaki lenye maana "Nasema!" Nikahisi huenda alitokea huku Tanganyika vizazi na vizazi.
 
Hayo uliyotaja sio kila nchi wanayo hata Marekani na China hawana baadhi ya hayo mambo. Hata kwetu elimu ni bure na matibabu kwa wazee pia. Ila sikatai kuna vitu vingi wametuzidi ila hatustahili kupitwa na manchi yenye vita. Tusiunge mkono kila kitu kisa kimeletwa na wazungu
 
wenye nguvu na akili walibebwa wote tukabaki sie magarasha
Hahahaaaa...nimeona matusi ya kila rangi humu jf ila hili lako ni jipya na kubwa kuliko babuu, hahahaaaa mam...mae...! Halafu mtu anabana pua anauliza eti 'kwa mtumbwi walifikaje mbali kote huko', daaadeki, kamuulize babu yako ilikuwaje hakuchukuliwa 'msukule' na watu weupe! Ikikuuma kaandamane kuanzia leo mpaka 26/4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…