Nani kakomaa mkuu,hizo ni stori za mitandaooni sio stori zote ni za kweli,Hawa watu ni wapolonesia,watu kama hawa wanapatikina takribani visiwa vyote vya bahari ya hindi upande wa Australia...kuanzia New zaland,Hawai,Tango,Fiji,Papua New Guinea,Phiilipines,Indonesia nk,...
Hizi nchi watu wake wa asilia ni watu wenye ngozi nyeusi kama waafrika lakini sio waafrika,watu wenye ngozi rangi nyeupe ni wahamiaji wa miaka millioni nyingi zilizopita..
Kama hili jambo utalichukulia kisayansi,wanasayansi wana "theory" yao ya "Great human immigration"..yaani uhamiaji mkubwa wa binaadamu wa mwanzo,"theory" inasema kuwa binaadamu wa mwanzo walitokea Afrika halafu wakanza kahama wakeelekea kaskazini,wengine waligeuka wakarudi afrika,wengeni waliendelea na safari..kuelekea kusikojulikana..
Hili jambo ukilichukulia kidini basi unaweza kufananisha na ile ya katika kitabu cha kiislam,katika Sura Al-hajri,sura 15 aya ya 26,...mungu anasema "Hakika tumemuumba binadamu katika udongo mweusi",...kwa wale waumini hii ni uthibitishi tosha kuwa binadamu wa mwanzo walikuwa watu wenye ngozi nyeusi ...
Mabaki ya bufuru la binadamu wa kale kabisa kuishi duniani pamoja na mabaki ya nyayo zake yanapatikana Tanzania sehemu inayoitwa Olduvai Gorge,....
Ukiangalia kwa makini watanzania ni watu wa mwanzo duniani lakini vile vile ni watu wa mwisho duniani,tafakari