kajembejr
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,289
- 1,317
Hawa ni ndugu zetu kabisa wa Tanganyika.. Naona Kabisa hao mabint hapo chini wamefanana nayule bint wa Marekani Instagram... MangeHabarini wakuu.
Fiji ni nchi iliyopo katika bahari ya Pacific karibu sana na nchi ya Australia.
Jamii ya wenyeji wa Fiji kimuonekano wanafanana na waafrika ila kuna tofauti kidogo kutokana na kuzaliana na jamii zingine za Asia na Pacific.
Masimuliz ya kale kutoka kwa mababu wa hapo Fiji wanadai wao walitoka Tanganyika miaka mingi sana iliyopita kwa boti kuelekea pacific kupitia Madagascar. Hivo wanadai wametokea hapa Afrika mashariki nchini kwetu Tanzania. Ikumbukwe hapa nchini pia kuna mto unaitwa Rufiji. Hapo chini nmeweka maelezo yao wanayotoa kuhusu historia yao na picha zao.View attachment 712526View attachment 712529View attachment 712531View attachment 712532View attachment 712533View attachment 712534View attachment 712537View attachment 712538