korojani
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 231
- 237
unawafahamu indigenous australians? ni weusi kama hao wa fiji na wapo karibukaribu. unaujua umbali toka Tanzania hadi Fiji islands and Australia? hivi unavyotype wao ni kesho tayari. waliendaje, kwa technologia ipi na meli wala majahazi yalikuwa hayajaanza, au walienda kwa ungo wa kichawi wa babu yako? halafu, ayo maneno wanayosema yanafanana na lugha zetu angalia kama maana yake zinaendana hata kidogo tu?....ifike mahali mkubali kuwa Mungu ndiye aliumba watu wengine wakawekwa huko.
the only Africans walioko mabara hayo ni wahindi fulani hivi, hao ndio hadi leo hadi nywele ni kipilipili kama za kwako
Hivi wewe ina maana ulikuwa uielewi historia hata ya darasa la tano?? Au hukusoma kabisa historia?
Kwani Wale wareno wakina ibn batuta waliizungurukaje dunia? Na historia inatuambia walisafiri kwa bahari. Wakati huo wala hakukuwa na meli zaidi ya mitumbwi na majahazi.
Wafanyabiashara wa kiarabu walikuja kuleta viungo (spices ) Afrika mashariki kutoka mashariki ya kati kwa kutumia majahazi.
Hebu jaribu hata kuisoma historia ya darasa la tano utayakuta haya, maana nikikuambia uisome ya Form 2 inaweza ikakutatiza sababu ya lugha inayotumika maana hata hiyo lugha pia ilikuja na majahazi...