Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise; nimependa sana mkao wako huo hapo kwa avator yako; kwanini tusiyajenge mimi na wewe badala ya kufikiria kwenda Fiji?Ukifika wasalimie
Amehamia Fiji au???
Nimekusoma dadaPhilippines ni mchanganyiko wa Asia na Hispania
Hii lugha ina asiri ya kibantu,maneno au majina ya kibantu kwa asili yake huishia na irabu,yaani a,e,I,o,u.Sasa maneno hayo yote yanaishia na irabu badala ya konsonantiNimejaribu ku-google dictionary tujaribu kutafuta neno la kibantu.Mimi sijaona humu naona ndugu zetu wameshachakachuliwa.
Udikteta upo ngoz ya mwafrikaNmeenda you tube kabisa ili nione mandhari yake. Nilikua nai under rate lkn kumbe ni bonge la nchi tena kwa utalii ndio balaa sychelles inakaa,sema inaendeshwa kidictator[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na mademu wa fiji wanapenda ELA kama hawa ndugu zao wa huku??
Ila mwisho wa siku hii story ni ya uongo, wafiji historia ina wa tracy tangu miaka 3000 kabla ya kristo wakati huo hata Tanganyika haipo.Nmeenda you tube kabisa ili nione mandhari yake. Nilikua nai under rate lkn kumbe ni bonge la nchi tena kwa utalii ndio balaa sychelles inakaa,sema inaendeshwa kidictator[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
VP uchumi wao ukojeI see, staple food yao wanakula samaki wa nazi, wali, mihogo viazi vitamu na mboga.
kwan Seychelles kuna udikteta?Nmeenda you tube kabisa ili nione mandhari yake. Nilikua nai under rate lkn kumbe ni bonge la nchi tena kwa utalii ndio balaa sychelles inakaa,sema inaendeshwa kidictator[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]