Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Daah nimemkumbuka afuaandeee Mwakalindile yupo sehemu inaitwa Suva nje kidogo kilomita kama 8 analima mananasi
 
Kweli Bwana nimemuona jamaa anafanana na Ambumbulwisye Nsalani Pasipapyo Mwakinyomo wa Mbeya!
 
Nimejaribu ku-google dictionary tujaribu kutafuta neno la kibantu.Mimi sijaona humu naona ndugu zetu wameshachakachuliwa.
Hii lugha ina asiri ya kibantu,maneno au majina ya kibantu kwa asili yake huishia na irabu,yaani a,e,I,o,u.Sasa maneno hayo yote yanaishia na irabu badala ya konsonanti
 
Nmeenda you tube kabisa ili nione mandhari yake. Nilikua nai under rate lkn kumbe ni bonge la nchi tena kwa utalii ndio balaa sychelles inakaa,sema inaendeshwa kidictator[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Udikteta upo ngoz ya mwafrika
 
Nmeenda you tube kabisa ili nione mandhari yake. Nilikua nai under rate lkn kumbe ni bonge la nchi tena kwa utalii ndio balaa sychelles inakaa,sema inaendeshwa kidictator[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mwisho wa siku hii story ni ya uongo, wafiji historia ina wa tracy tangu miaka 3000 kabla ya kristo wakati huo hata Tanganyika haipo.

Na asili yao ina tresiwa papua New Guinea kwa uwiano wa Lugha lakini DNA ziki watresi kama waliotoka Taiwan
 
Nmeenda you tube kabisa ili nione mandhari yake. Nilikua nai under rate lkn kumbe ni bonge la nchi tena kwa utalii ndio balaa sychelles inakaa,sema inaendeshwa kidictator[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwan Seychelles kuna udikteta?
 
DAH!KUMBE MAENEO MATAMU YAPO TATIZO WAHINDI WAMESHIKILIA KILA SEKTA NA NDUGU ZETU WENGI WAPO VIJIJINI [emoji31]
 
Attachments

  • IMG_1521051385.128931.jpg
    IMG_1521051385.128931.jpg
    21.2 KB · Views: 74
  • IMG_1521051396.216549.jpg
    IMG_1521051396.216549.jpg
    21 KB · Views: 69
  • IMG_1521051406.639076.jpg
    IMG_1521051406.639076.jpg
    25.7 KB · Views: 62
  • IMG_1521051421.652772.jpg
    IMG_1521051421.652772.jpg
    23.7 KB · Views: 74
  • IMG_1521051434.411473.jpg
    IMG_1521051434.411473.jpg
    16.9 KB · Views: 60
  • IMG_1521051475.262535.jpg
    IMG_1521051475.262535.jpg
    21 KB · Views: 62
  • IMG_1521051509.040702.jpg
    IMG_1521051509.040702.jpg
    15.7 KB · Views: 61
  • IMG_1521051530.622358.jpg
    IMG_1521051530.622358.jpg
    22.3 KB · Views: 85
Back
Top Bottom