kwamwewe
JF-Expert Member
- Jul 15, 2010
- 1,908
- 604
Poa tu mi naondoka tarehe25 april
Subiri maandamano 26 April tuikomboe nchi yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa tu mi naondoka tarehe25 april
Ungesema wameenda na majahazi ningekuelewa matako weweWe nae unajifanya huelewi?
Kwani kabla ya boti hakukuwa na mitumbwi au majahazi?
Kenge we
Hahaha kale unajiwa sehemu iliyojficha unaambiwa uitafuteNakumbuka kale kamchezo ka atlas uko shule ya msingi,hii sehemu nilikuwa sikoseagi
wenye nguvu na akili walibebwa wote tukabaki sie magarashaKumbe walitoka beside Tanganyika(kgm,katavi &Rukwa). Hakika slave trade ,ilituacha vibaya kabisa
Mbona mm mweusi nna manywele ya kizunguuongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Kabla ya utawala wa wajerumani.....ziwa tanganyika liliitwaje?nchi ya tanganyika ilikuwepo?hauhutaji kustretch brain kujua hili.....ushahidi wao hautoshelezi
Hahah huko sisi tuna Nyanya yetu ambae ni binamu wa babu mdogo kwa upande wa shangazi ambae ni mtalaka wa mjomba wetu wa 2 kutoka mwisho ila alizaliwa nje ya ndoa ya wakina babu mkubwa.Mara ya mwisho nilienda Fiji mwaka '98 na huko kuna ndigu zetu kabisa upande wa baba mkubwa, wapo huko na historia inaonesha baba wa bahu mkubwa ndo alienda huko, ni watanzania!
[emoji1] [emoji1]Mara ya mwisho nilienda Fiji mwaka '98 na huko kuna ndigu zetu kabisa upande wa baba mkubwa, wapo huko na historia inaonesha baba wa bahu mkubwa ndo alienda huko, ni watanzania!