Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Kwa shirikisho hakuna ugumu wowote, team zote zilizoingia Robo ni za kawaida tyuuh.
Kuna Pyramids nadhani huwajui vema hao. Yanga akiwekewa hao kwisha habari yake.
Na sisi huku Simba kuna wanaume akina Wydad, Mamelodi n.k kazi ipo nasema πŸ˜‚
 
Kuna watu hawastahili hata kuwa na mke au mume, acha tu watoto. IQ zao ndogo sana.
 
Unazungumzia vitu vyepesi sana ndugu yangu.

Haya unataka uhalisia ngoja tuanze na vikosi. Hii kazi ulitakiwa ufanye mwenyewe lakini siyo kesi.

Yanga vs Monastir - Game 2


Yanga vs Monastir - Game 1



Nimeshindwa kuscreenshot Monastir vs Mazembe, nimeangusha simu yangu jana usiku naona inazingua ila nikiweza nitaupdate. Nikwambie tu kikosi kilichocheza na nyie game 1, ni mchezaji mmoja tu ndiyo hakuanza kwenye game hiyo na Mazembe.

Ungetulia tu kwenye hili. Mengine nitakujibu hapo chini.
 
Kiwango hiki cha upumbavu nacho kitapata wa kukiunga mkono.
 
Kuhusu kuongoza group, kuna mwenzio alianzisha uzi akijisifu Yanga anaongoza group nikamwambia bado game za mwisho, kuna vitu walijibu hapo nikaachana nao nikajua sidili na watu wenye uelewa wa mambo. Monastir anaenda kuongoza hili group baada ya Game 6 unless......

Unapoongelea Game 1 na kuongelea magoli ya Monastir, hauzungumzi kama mtu wa mpira. Hauwezi kusema "isingekuwa hivi wasingepata goli", kwani magoli kwenye mpira yanapatikanaje, si magoli yote yanatokana na makosa ya timu pinzani? πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Unajidharirisha kwa kuzidi kuushilia ujinga. Shtuka mkuu wenzako tunaenda semi finals wewe utaishia kupiga umbea umbea tu
Hongera zenu kwa kwenda into semi finals,ndo vzr mwakani tupeleke timu nyingi
 
Pumba
 
Umeandika uongo mkuu
 
Acha wivu Thimbaa wewe[emoji23]
Sasa mkuu,kwani mi nimesema uongo hata kitu kimoja hapo???mi nmeleta facts zangu kila mtu ajadili afu jibu abaki nalo,na ww jiulize kwenye press ya mkataba wa USM NA SBS anasifiwa yanga kwenda robo final,mi skuelewa ndo mana nikaleta hoja wala sijasema kitu kingine,nashangaa wakuu wanasema nimesema ngaya katoa bahasha,wapi nimesema hivyo jamani??[emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo match fixing wewe ndo umesema,mi nmesema jibu baki nalo wewe mwenyewe sasa kama hilo ndo jibu basi sawa well and good.
 
Ulichoshindwa kukumbuka ni kitu kimoja tu; Monastir siyo kama timu yako ya simba yenye kikosi cha kutabirika, na chenye wachezaji wale wale! 1. Manula, 2. Kapombe, 3. Shabalala, 4. Inonga Bacca, 5. Onyango, 6. Kanoute, 7. Chama, 8. Mzamiru, 9. Baleke, 10. Ntibazonkiza, 11. Kibu D.

Nikutajie na Sub zenu? Baleke/Phiri, Kibu D/Sakho!! πŸ˜ƒ Yaani hata mtoto mdogo anaweza kupanga kikosi chenu eti!! Hivyo hao jamaa wana kikosi chenye wachezaji wenye viwango vinavyo fanana. Maana hata wachezaji wao wa kikosi cha kwanza mfano yule Traore, walipoingia baadaye, hawakufanya maajabu yoyote.

Ukumbuke pia Raja Casablanca alipumzisha wachezaji wake wengi kule Kampala Uganda kwenye mechi yake na Vipers, iliyoisha kwa sare ya 1-1! Unafahamu sababu ya kufanya hivyo? Bila shaka ana jambo lake kule Morocco kwenye mechi yake ya mwisho ya makundi.
 
Hiyo match fixing wewe ndo umesema,mi nmesema jibu baki nalo wewe mwenyewe sasa kama hilo ndo jibu basi sawa well and good.
Achana nao. Umeanika vyupi vyao juani lazima wakumind maana vyupi vyenyewe vina matobo πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

SBS wametumika kama chambo tu hapo baadae wakawang'ata sikio Monastir kuwa "kuna ndugu zetu wako hoi bin taaban, embu fanyeni msaada. Hili litaimarisha sana uhusiano wetu na nyie". Hata aibu hawana πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Swali haujanibu. First eleven yao iliizidi nini Yanga kwenye mechi ya kwanza kule Tunisia ukiachana na mipira yao set pieces?
 
Swali haujanibu. First eleven yao iliizidi nini Yanga kwenye mechi ya kwanza kule Tunisia ukiachana na mipira yao set pieces?
Hayo maswali ni subjective, unataka tubishane hapa siku nzima kuhusu set pieces? Nyie mbona hamkupata goli kule kwao?

Na majibu ya maswali yako mengine umeridhika nayo, mbona haujasema kitu?
 
Sawa mkuu,jibu lako ni zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…