Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Kwa shirikisho hakuna ugumu wowote, team zote zilizoingia Robo ni za kawaida tyuuh.
Kuna Pyramids nadhani huwajui vema hao. Yanga akiwekewa hao kwisha habari yake.
Na sisi huku Simba kuna wanaume akina Wydad, Mamelodi n.k kazi ipo nasema 😂
 
Kuna watu hawastahili hata kuwa na mke au mume, acha tu watoto. IQ zao ndogo sana.
 
Nitajie wachezaji nusu ambao huwa wanaanzaga katika kikosi cha kwanza ambao hakucheza dhidi ya Yanga. Twwnde kwenye uhalisia.
Kwenye group stage mbali na kufuzu, timu zinapigania kuongoza kundi je unajua faida ya kuongoza kundi?
Faida ya kwanza kabisa ni kwamba unakuwa na advantage ya kupangiwa na timu zinazoshika nafasi ya pili.
Faida ya pili ni kwamba ni lazima kwenye mechi yako ya robo fainali utaanzia ugenini kisha unakuja kumalizia mechi nyumbani. Timu zote zinazocheza hatua ya makundi wanalijua faida ya kuongoza kundi hivyo Monastir hajaja ku relax kazidiwa na Yanga

Swali langu la msingi umelikwepa nimekuuliza hivi, hao wachezaji wa Monastir waliokuwepo kwenye mechi ya kwanza kule Tunisia ni mpira gani waliocheza kuizidi Yanga ukiachana na zile set pieces walizokuwa wanategemea? Kule kule Tunisia Yanga waliwachezea mpira utafikiri Yanga ndio ipo nyumbani. Yanga ingekuwa makini kwenye mipira ya kutengwa wasingeweza kupata goli.
Unazungumzia vitu vyepesi sana ndugu yangu.

Haya unataka uhalisia ngoja tuanze na vikosi. Hii kazi ulitakiwa ufanye mwenyewe lakini siyo kesi.

Yanga vs Monastir - Game 2
Screenshot_20230319-233913_Chrome.jpg

Yanga vs Monastir - Game 1

Screenshot_20230319-234421_Chrome.jpg

Nimeshindwa kuscreenshot Monastir vs Mazembe, nimeangusha simu yangu jana usiku naona inazingua ila nikiweza nitaupdate. Nikwambie tu kikosi kilichocheza na nyie game 1, ni mchezaji mmoja tu ndiyo hakuanza kwenye game hiyo na Mazembe.

Ungetulia tu kwenye hili. Mengine nitakujibu hapo chini.
 
Kiwango hiki cha upumbavu nacho kitapata wa kukiunga mkono.
 
Nitajie wachezaji nusu ambao huwa wanaanzaga katika kikosi cha kwanza ambao hakucheza dhidi ya Yanga. Twwnde kwenye uhalisia.
Kwenye group stage mbali na kufuzu, timu zinapigania kuongoza kundi je unajua faida ya kuongoza kundi?
Faida ya kwanza kabisa ni kwamba unakuwa na advantage ya kupangiwa na timu zinazoshika nafasi ya pili.
Faida ya pili ni kwamba ni lazima kwenye mechi yako ya robo fainali utaanzia ugenini kisha unakuja kumalizia mechi nyumbani. Timu zote zinazocheza hatua ya makundi wanalijua faida ya kuongoza kundi hivyo Monastir hajaja ku relax kazidiwa na Yanga

Swali langu la msingi umelikwepa nimekuuliza hivi, hao wachezaji wa Monastir waliokuwepo kwenye mechi ya kwanza kule Tunisia ni mpira gani waliocheza kuizidi Yanga ukiachana na zile set pieces walizokuwa wanategemea? Kule kule Tunisia Yanga waliwachezea mpira utafikiri Yanga ndio ipo nyumbani. Yanga ingekuwa makini kwenye mipira ya kutengwa wasingeweza kupata goli.
Kuhusu kuongoza group, kuna mwenzio alianzisha uzi akijisifu Yanga anaongoza group nikamwambia bado game za mwisho, kuna vitu walijibu hapo nikaachana nao nikajua sidili na watu wenye uelewa wa mambo. Monastir anaenda kuongoza hili group baada ya Game 6 unless......

Unapoongelea Game 1 na kuongelea magoli ya Monastir, hauzungumzi kama mtu wa mpira. Hauwezi kusema "isingekuwa hivi wasingepata goli", kwani magoli kwenye mpira yanapatikanaje, si magoli yote yanatokana na makosa ya timu pinzani? 🤣😂🤣
 
Mpaka nimeona aibu mimi kwa huu utumbo ulioandika hapa yaani umekaa weee ukafikiria uandike huu urojo hakika sema nimetumia ubongo wangu vizuri kama unadhani kwepesi na nyie wahongeni Raja Casablanca basi ila Watz tunaishi maisha ya chuki sana au wewe ndio kazumari nini umeona twitter hakutoshi umehamia na huku
Pumba
 
pengine ni vyema ujiulize mambo yafuatayo:
1.wachezaji wote wa horoya walikuwa wakicheza wamelewa na kupepesuka
2.walikuwa wanaona mipira miwili miwili
3.makipa walikuwa hawaoni mipira bali mauzamauza mengi kiwanjani
4.kocha mkuu aliugua ghafla na akashindwa kuja na timu
walahi jibu unalo mwenyewe
Umeandika uongo mkuu
 
Acha wivu Thimbaa wewe[emoji23]
Sasa mkuu,kwani mi nimesema uongo hata kitu kimoja hapo???mi nmeleta facts zangu kila mtu ajadili afu jibu abaki nalo,na ww jiulize kwenye press ya mkataba wa USM NA SBS anasifiwa yanga kwenda robo final,mi skuelewa ndo mana nikaleta hoja wala sijasema kitu kingine,nashangaa wakuu wanasema nimesema ngaya katoa bahasha,wapi nimesema hivyo jamani??[emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye Match Fixing yote yawezekana ingawa sababu zako ulizotoa hakuna hata moja inayoweza kuthibitisha kuwa kulikuwa na upangaji wa matokeo. Hata mchezo wa Simba na Horoya ungeingizwa kwenye upangaji wa matokeo, kilichowanusuru Simba ni kwamba Timu zote 2 (Simba na Horoya) zilikuwa zinahitaji matokeo ili zisonge mbele. Sasa fikiria kama Horoya ndiye angekuwa nafasi ya kwanza kwenye kundi halafu amefuzu kucheza robo fainali kama Raja, hapo lazima CAF wangesema kuna kupanga matokeo ili kumsaidia Simba aende robo fainali. Kwa hiyo tufike mahali tuzipongeze timu zetu pale zinapojipanga na kushinda mechi zao, tusiwe bias kufikiria kuwa kuna kupanga matokeo.
Hiyo match fixing wewe ndo umesema,mi nmesema jibu baki nalo wewe mwenyewe sasa kama hilo ndo jibu basi sawa well and good.
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Ulichoshindwa kukumbuka ni kitu kimoja tu; Monastir siyo kama timu yako ya simba yenye kikosi cha kutabirika, na chenye wachezaji wale wale! 1. Manula, 2. Kapombe, 3. Shabalala, 4. Inonga Bacca, 5. Onyango, 6. Kanoute, 7. Chama, 8. Mzamiru, 9. Baleke, 10. Ntibazonkiza, 11. Kibu D.

Nikutajie na Sub zenu? Baleke/Phiri, Kibu D/Sakho!! 😃 Yaani hata mtoto mdogo anaweza kupanga kikosi chenu eti!! Hivyo hao jamaa wana kikosi chenye wachezaji wenye viwango vinavyo fanana. Maana hata wachezaji wao wa kikosi cha kwanza mfano yule Traore, walipoingia baadaye, hawakufanya maajabu yoyote.

Ukumbuke pia Raja Casablanca alipumzisha wachezaji wake wengi kule Kampala Uganda kwenye mechi yake na Vipers, iliyoisha kwa sare ya 1-1! Unafahamu sababu ya kufanya hivyo? Bila shaka ana jambo lake kule Morocco kwenye mechi yake ya mwisho ya makundi.
 
Hiyo match fixing wewe ndo umesema,mi nmesema jibu baki nalo wewe mwenyewe sasa kama hilo ndo jibu basi sawa well and good.
Achana nao. Umeanika vyupi vyao juani lazima wakumind maana vyupi vyenyewe vina matobo 🤣😂🤣

SBS wametumika kama chambo tu hapo baadae wakawang'ata sikio Monastir kuwa "kuna ndugu zetu wako hoi bin taaban, embu fanyeni msaada. Hili litaimarisha sana uhusiano wetu na nyie". Hata aibu hawana 🤣😂🤣
 
Unazungumzia vitu vyepesi sana ndugu yangu.

Haya unataka uhalisia ngoja tuanze na vikosi.

Yanga vs Monastir - Game 2
View attachment 2560180

Yanga vs Monastir - Game 1

View attachment 2560181

Nimeshindwa kuscreenshot Monastir vs Mazembe, nimeangusha simu yangu jana usiku naona inazingua ila nikiweza nitaupdate. Nikwambie tu kikosi kilichocheza na nyie game 1, ni mchezaji mmoja tu ndiyo hakuanza kwenye game hiyo na Mazembe.

Ungetulia tu kwenye hili. Mengine nitakujibu hapo chini.
Swali haujanibu. First eleven yao iliizidi nini Yanga kwenye mechi ya kwanza kule Tunisia ukiachana na mipira yao set pieces?
 
Swali haujanibu. First eleven yao iliizidi nini Yanga kwenye mechi ya kwanza kule Tunisia ukiachana na mipira yao set pieces?
Hayo maswali ni subjective, unataka tubishane hapa siku nzima kuhusu set pieces? Nyie mbona hamkupata goli kule kwao?

Na majibu ya maswali yako mengine umeridhika nayo, mbona haujasema kitu?
 
Ulichoshindwa kukumbuka ni kitu kimoja tu; Monastir siyo kama timu yako ya simba yenye kikosi cha kutabirika, na chenye wachezaji wale wale! 1. Manula, 2. Kapombe, 3. Shabalala, 4. Inonga Bacca, 5. Onyango, 6. Kanoute, 7. Chama, 8. Mzamiru, 9. Baleke, 10. Ntibazonkiza, 11. Kibu D.

Nikutajie na Sub zenu? Baleke/Phiri, Kibu D/Sakho!! [emoji2] Yaani hata mtoto mdogo anaweza kupanga kikosi chenu eti!! Hivyo hao jamaa wana kikosi chenye wachezaji wenye viwango vinavyo fanana. Maana hata wachezaji wao wa kikosi cha kwanza mfano yule Traore, walipoingia baadaye, hawakufanya maajabu yoyote.

Ukumbuke pia Raja Casablanca alipumzisha wachezaji wake wengi kule Kampala Uganda kwenye mechi yake na Vipers, iliyoisha kwa sare ya 1-1! Unafahamu sababu ya kufanya hivyo? Bila shaka ana jambo lake kule Morocco kwenye mechi yake ya mwisho ya makundi.
Sawa mkuu,jibu lako ni zuri
 
Back
Top Bottom