"Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina" Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa Ushauri wa Kejeli

Siasa za kimataifa haziendeshwi kwa haki ya vitabu vya dini....ni uhuni wa kisomi....

Haya mkuu endelea kuamini siasa hizo ni 2+2= 4 👍
Sijafanya reference yoyote kutoka kwenye vitabu vya dini.
Hata kama kwenye siasa 2+2 sio wakati wote ni 4 bado unawajibika kuonyesha kama ni 5 au 10 na sio kutoa sweeping and unsupported statements then una justify kwa kusema siasa sio 2+2=4.
 
Mtumiaji wa Tecno bado hujaeleza hayo maslahi ya Marekani kuzivamia hizo nchi yalikuwa yapi au ni yapi?

Wakati unanijibu usisahau kuweka ulinganifu na anayofanya Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…