Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

Hivi huwa mnatumia kipimo gani kusema huyu mtu ni bora?!
 
Ndungulile ndio wa vifurush au nimechanganya???
Eti.... Huyu anaesema whatsapp ipandishiwe gharama sababu serikali inakosa mapato ya simu za kimataifa sababu raia kwa sasa wameacha kulipia vifurushi vya sim za kawaida wanatumia sana WhatsApp kupitia data ambayo ni cheap.
 
Hafai uongozi huyo. Maneno mengi na porojo kama baba yake ila ni wapigaji tu.
 
Kama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.

Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
Mtu muongo kuwa waziri mkuu ni pigo kubwa sana kwa nchi.
 
Mkuu January makamba ni mtu wa kawaida sana.
Amelifanyia Taifa nini??? Labda cha hajabu zaidi ya kuweka masilai yake mbele.
Ok now ni Mp umeona hana impact gani hata kwenye izi tozo na kodi tunazolipishwa.
 
Uko pamoja na mimi. Nimeshindwa kabisa kuona uwezo wake huyo brother.
January Makamba ni mwanaccm pekee ambaye angalau huwa ana theory of thinking ukilinganisha na wanaccm wengine wote walioko kwenye siasa kwa sasa.

Ila kuna mapungufu kadhaa kama hayo mnayoyasema ndiyo yanaleta shida kwake.

Kuhusu upigaji kizazi cha panya hakiwezi kugeuka na kuwa paka hata siku moja.
 
Huyo mzaramo Jafo anaweza nini zaidi ya kupiga mboyoyo tu ?
 
Hahahaha Mkuu yule anajitahidi Tamisemi kwangu alikimbiza fresh maana wizara ilikuwa nzito kulingana na umri wake
Ni ngumu kumpima waziri katika kipindi cha Magufuli cause Magufuli aliikuwa kila kitu.

Hebu tuambie ni kipi ambacho unaweza kuonyesha haya ni matunda ya Jafo pale TAMISEMI zaidi ya stendi za mabasi tu ?
 
January Makamba ana uwezo wa kawaida Sana huyu anafaa kufanya kazi kwenye nchi ikiwa tayali na katiba mpya maana ni mjanjamjanja Sana .Kwa mfumo uliopo ataishia kuwa fisadi kwa Sababu tukiacha ushabiki jamaa Hana maadili ya uongozi.Hayupo smart kama anavowaaminisha watu.
 
Ni ngumu kumpima waziri katika kipindi cha Magufuli cause Magufuli aliikuwa kila kitu.

Hebu tuambie ni kipi ambacho unaweza kuonyesha haya ni matunda ya Jafo pale TAMISEMI zaidi ya stendi za mabasi tu ?
Ni kweli akijikita sana kwenye ujenzi wa stand, hospital za wilaya na hata pia barabara vijijini Tarura ilisimamiwa vzr.
Ila alifeli kwenye nguvu watu kuajiri na hii ni kutokana na Aina ya Rais.
 
Ooooh
 
Baada ya Majaliwa aje huyu atatufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…