Unaijua bla bla bla wewe au unaisikia? Kamuulize Makamba hiyo bla bla bla afu aache kujikuta strategist wakati ni bonge la hypocrite na mwambie time will tell ,atalipa kwa betrayal kubwa aliofanya. Everyone will pay his or her due aliehusika kwenye all the shit conspiracy.Kama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.
Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
Rizimoko siyo inawezekana but in any forthcoming reshuffle yumooo!! Mark this thread...Ukiona nyuzi kama hizi zikimiminika kwa wingi hapa JF, basi tambua kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa mabadiliko ndani ya Baraza la Mawaziri. Uteuzi wa Mh.Tax kuwa mbunge wa kuteuliwa, uwepo wa pengo la Waziri wa Ulinzi ni mojawapo ya viashiria vya kufanyika mabadiliko hayo ndani ya muda mfupi ujao...
Kumbe?FYI ni Dr Makamba au anaendea kuwa. Baada ya kutolewa Wizara ya Mazingira alianza kusoma PhD.
Kumbuka alikuwa mwandishi wa hotuba za JK na kabla ya hapo alikuwa foreign affairs... so hata uwe mjinga vipi huwezi kuwa hujajifunza chochote kwenye hizo posts nyeti zote...Yaani JM wanamuona watu yuko smart amavyoongea ila kwa taarifa yenu huyo mi empty set hana utendaji wowote kabebwa tu na mazingira ya baba yake kuwa kwenye system! Maneno mengi vitendo sifuri!
Usisahau connection. Alipewa kuandika hotuba na yeye akampa mtu. Ni kama Justin Bieber anavyoandika nyimbo za post Malone.Kumbuka alikuwa mwandishi wa hotuba za JK na kabla ya hapo alikuwa foreign affairs... so hata uwe mjinga vipi huwezi kuwa hujajifunza chochote kwenye hizo posts nyeti zote...
Itakua too clear akiwepo. From drug addict to being a Minister, anyways wacha tusonge mbele ila watalipa tu.Rizimoko siyo inawezekana but in any forthcoming reshuffle yumooo!! Mark this thread...
Kambi yake ndo mpaka ishinde vita.Hamphrey polepole ni kiraka kizuri Sana kwa nafasi zote Tatu za juu, urais,umakamu na uwaziri Mkuu.
Wewe hujui jina la baba yake lilimbeba?Kama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.
Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
Hatutaki Kikwete part 2Hakuna raisi pale. Porojo nyingi halafu anaonekana ni mtu wa janja janja za chini chini. Ukiona mtu anautafuta uraisi wa taifa lenye changamoto kama hili kwa muda mrefu, basi jua nyuma ya pazia ni kuwa uraisi kwake ni mtaji wa kufanya maisha.
Rais atakuwa Mbowe! Umefurahi?Naona CCM mnajpangia Tu warithi WA urais kupitia chama chenu utadhan Taifa hili ni Mali yenu na familia zenu Safari yenu imeiva aisee
Hafai hata kusimamia mali za baba yake hasa yale mabata ya MadaleSi kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!
Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?...
mmhHafai hata kusimamia mali za baba yake hasa yale mabata ya Madale
Ndugulile? Dooh!!!Ni Rais wa 2030, kama siyo Ndugulile or Mwinyi
Hahaha, jamaa yupo vizuri, Sijui Samia katumia vigezo gani kumtoa, ni mtu mwenye maono na kila kituNdugulile? Dooh!!!
Hafai kabisa huyoHahaha, jamaa yupo vizuri, Sijui Samia katumia vigezo gani kumtoa, ni mtu mwenye maono na kila kitu