Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

Kama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.

Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
Unaijua bla bla bla wewe au unaisikia? Kamuulize Makamba hiyo bla bla bla afu aache kujikuta strategist wakati ni bonge la hypocrite na mwambie time will tell ,atalipa kwa betrayal kubwa aliofanya. Everyone will pay his or her due aliehusika kwenye all the shit conspiracy.
 
Ukiona nyuzi kama hizi zikimiminika kwa wingi hapa JF, basi tambua kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa mabadiliko ndani ya Baraza la Mawaziri. Uteuzi wa Mh.Tax kuwa mbunge wa kuteuliwa, uwepo wa pengo la Waziri wa Ulinzi ni mojawapo ya viashiria vya kufanyika mabadiliko hayo ndani ya muda mfupi ujao...
Rizimoko siyo inawezekana but in any forthcoming reshuffle yumooo!! Mark this thread...
 
Yaani JM wanamuona watu yuko smart amavyoongea ila kwa taarifa yenu huyo mi empty set hana utendaji wowote kabebwa tu na mazingira ya baba yake kuwa kwenye system! Maneno mengi vitendo sifuri!
Kumbuka alikuwa mwandishi wa hotuba za JK na kabla ya hapo alikuwa foreign affairs... so hata uwe mjinga vipi huwezi kuwa hujajifunza chochote kwenye hizo posts nyeti zote...
 
Hamphrey polepole ni kiraka kizuri Sana kwa nafasi zote Tatu za juu, urais,umakamu na uwaziri Mkuu.
 
Kumbuka alikuwa mwandishi wa hotuba za JK na kabla ya hapo alikuwa foreign affairs... so hata uwe mjinga vipi huwezi kuwa hujajifunza chochote kwenye hizo posts nyeti zote...
Usisahau connection. Alipewa kuandika hotuba na yeye akampa mtu. Ni kama Justin Bieber anavyoandika nyimbo za post Malone.
 
Kama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.

Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
Wewe hujui jina la baba yake lilimbeba?
Kiutendaji ni zero.k
Hakuna raisi pale. Porojo nyingi halafu anaonekana ni mtu wa janja janja za chini chini. Ukiona mtu anautafuta uraisi wa taifa lenye changamoto kama hili kwa muda mrefu, basi jua nyuma ya pazia ni kuwa uraisi kwake ni mtaji wa kufanya maisha.
Hatutaki Kikwete part 2
Walivyoila nchi yatosha.
 
Sema kijamaa kinajua sana siasa za mitandaoni.
 
Back
Top Bottom