Fikra za Mama yangu kuhusu Ndoa na Familia

kasema ukweli kabisaa.
 
Mimi nadhani hayo ni matatizo yake binafsi Mimi hayanihusu
Maana yake mama yako aliolewa na mwanaume wa hovyo na ndio maana ana experience mbaya kwenye ndoa.
Ilipaswa umpe pole mama yako kwa magumu aliyo yapitia kwenye ndoa yake.
 
Mkuu haya ni maneno makali sana kwa mzazi wa mtu mzima mwenzio.
Kamuanika mwenyewe UCHI Mama yake Mchana kweupe sasa tunafanyaje sasa zaidi ya kuchangia Mada Wewe unasema Mama anasema angekua Mwanaume angezaa na Wanawake tofauti na asingeoa yaan km Mama yake kaolewa basi kaolewa kuficha aibu Ila nje Wahuni wanapiga mashine mfululizo
 
inategemea na uzoefu wake juu ya ndoa either kwa baadhi ya mambo magumu kuyapitia yeye mwenyewe au kwa kujifunza na kuyaona kwa vijana wa sasa kupitia kutoa ushauri/ kufunda kuhusu migogoro ya ndoa.
Mimi binafsi naona yupo sahihi.
Imagine unaoa mkeo lakini baadae anaanza mambo meusi iwe kwa kupenda au kulipiza kisasi au tamaa tu.

Yaani mkeo huyo... anachapwa na muhuni hadi anakimbia na chupi mkononi.
Na ndio tabia za wanawake wengi wa kisasa huku mitaani, tupu yake si ya mumewe, ndoa ina miaka kumi humohumo kuna wahuni watatu, mmoja anaye kwa miaka 7, mwingine alishakuwaga nae kabla yako wao wana miaka 13 kwenye ndoa yako ya miaka 10, kuna mwingine yupo humo anakula ana mwaka na nusu.
Bi mkubwa ana hoja asikilizwe
 
Kapiga sana helaa jamaa, mpaka akina dokta mwaka wanakuja kushtukia game jamaa kashazikusanya za kutosha kaamua kutulia kaachia wahuni kazi
Ana kipindi Redio Uhuru km sijakosea main topic ni Mastabesheni akabadirisha Punyeto anarudi tena Mastabesheni hivyo hivyo Punyeto Mastabesheni hizo ndio topic zake
 
Wakina mama wengi mioyo yao huingia kutu ya huruma pindi kijana wao wa kiume anapozama penzini.......

Si kwa sababu ya kukosa msaada ya kifedha bali wanajua ni jinsi gani kijana wake atapitia kwenye mapito magumu juu ya mwanamke kwani na yeye ni mwanamke.......

Anajua jinsi mwanamke anavyomtendea mwanaume aliyezama penzini.......anajua kwa asilimia kubwa ndio mwanzo wa anguko la mwanae.....na mwanzo wa yeye kukaa mbali na mwanae.......

Kitu pekee walichojaaliwa mama zetu ni kuwa na vifua vya kuyahifadhi machungu na kadhia hiyo......lakini mioyoni mwao kunaingia shaka sana.......

Shaka hiyo inapungua ikiwa huyo awe walau anamjua kabla ya wewe kumuoa...........

NB;
Mama yangu alinipa usia kuwa niwe makini na wanawake weupe.........
 
Ndugu
Mbona unaandika maneno makali kwa mzazi wa mwenzio......mbona alichomuambia mama yake ni maongezi tu ya kawaida.......

Mbona umefika mbali sana mkuu.......
 
Ndugu
Mbona unaandika maneno makali kwa mzazi wa mwenzio......mbona alichomuambia mama yake ni maongezi tu ya kawaida.......

Mbona umefika mbali sana mkuu.......
No amemvua Mama yake nguo hakuna Mama anaeweza kumwambia mwanae hivyo km hafanyi huo upuuzi wamama wote wanataka watoto wao waoe na kujenga familia sio kua na watoto mafungu mafungu uchumi wenyewe Sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…