Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jun 29, 2024 #81 Jaribu kumuuliza tena, mzazi kufikia kusema hivyo ana sababu. Lakini nashauri oaneni, kila mmoja ajitahidi kubeba madhaifu ya mwenzie. Kibaya tu mkeo au mmeo siijue unatoka nje ya ndoa, hapo hakika ndoa itakufa
Jaribu kumuuliza tena, mzazi kufikia kusema hivyo ana sababu. Lakini nashauri oaneni, kila mmoja ajitahidi kubeba madhaifu ya mwenzie. Kibaya tu mkeo au mmeo siijue unatoka nje ya ndoa, hapo hakika ndoa itakufa
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jun 29, 2024 #82 Anazeeka vibaya
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,535 Reaction score 14,840 Jun 29, 2024 #83 Django doer said: Daah 🤣😆😆 ilikutokea nn? Click to expand... Imenitokea ndio,lakini na mimi nawafanta watu iwatokee😂😂
Django doer said: Daah 🤣😆😆 ilikutokea nn? Click to expand... Imenitokea ndio,lakini na mimi nawafanta watu iwatokee😂😂