inategemea na uzoefu wake juu ya ndoa either kwa baadhi ya mambo magumu kuyapitia yeye mwenyewe au kwa kujifunza na kuyaona kwa vijana wa sasa kupitia kutoa ushauri/ kufunda kuhusu migogoro ya ndoa.
Mimi binafsi naona yupo sahihi.
Imagine unaoa mkeo lakini baadae anaanza mambo meusi iwe kwa kupenda au kulipiza kisasi au tamaa tu.
Yaani mkeo huyo... anachapwa na muhuni hadi anakimbia na chupi mkononi.
Na ndio tabia za wanawake wengi wa kisasa huku mitaani, tupu yake si ya mumewe, ndoa ina miaka kumi humohumo kuna wahuni watatu, mmoja anaye kwa miaka 7, mwingine alishakuwaga nae kabla yako wao wana miaka 13 kwenye ndoa yako ya miaka 10, kuna mwingine yupo humo anakula ana mwaka na nusu.
Bi mkubwa ana hoja asikilizwe