Fikra za Mama yangu kuhusu Ndoa na Familia

kuoa ni sunna sio lazima
Salaam nikushauri tu mkuu Ukijibu hasa masuala ya kidini jitahidi sana kuweka na sources au references mbali mbali hasa kwa dini yetu hii ya kiislamu utoe source labda quran, hadith au ijma'a za wanawachuoni ila ukijibu tu juu juu utawapoteza wengi mkuu na ni dhima .
 
No amemvua Mama yake nguo hakuna Mama anaeweza kumwambia mwanae hivyo km hafanyi huo upuuzi wamama wote wanataka watoto wao waoe na kujenga familia sio kua na watoto mafungu mafungu uchumi wenyewe Sifuri
Wewe ndio Mimi? ...sijui matusi Mimi....wewe kama umeandika haya ili upate attention kutoka kwa kina ephen_ Mimi sipo huko mkuu😎
 
Wewe ndio Mimi? ...sijui matusi Mimi....wewe kama umeandika haya ili upate attention kutoka kwa kina ephen_ Mimi sipo huko mkuu😎
Nikwambie! Tunapokosea ndipo tunapojifunza, siku nyingine angalia kitu cha kuleta humu hasahasa kinachohusu wazazi.

Pia, yeyote aliyekutukania mama yako humu hayupo sahihi ingebidi akuambie tu kwa upendo
Watu wanajisahau sanaa na hizi fake ids
Usiweke kinyongo kwa mtu usiyemjua
mjinga mpe cheo
 
Hata wewe nakuruhusu kutukana, hakuna sehemu nimeandika tusi hapa....ni mjinga pekee anayeweza kubadirisha mawazo yangu Na mchango wake hapa kuwa tusi
 
No amemvua Mama yake nguo hakuna Mama anaeweza kumwambia mwanae hivyo km hafanyi huo upuuzi wamama wote wanataka watoto wao waoe na kujenga familia sio kua na watoto mafungu mafungu uchumi wenyewe Sifuri
Pamoja na hayo lakini wewe hukupaswa kuyaandika uliyoyaandika....tujifunze kufichiana aibu hata watu wenyewe wanajitia aibu
 
Mama ako anamuonea wivu mwanamke utakayemuoa kabla hajamjua, na hii ni kwa sababu amekupenda sana ,anahisi ukioa huyo mwanamke atachukua nafasi yake moyoni mwako, ni tukio la kisaikolojia
 
Mama ako anamuonea wivu mwanamke utakayemuoa kabla hajamjua, na hii ni kwa sababu amekupenda sana ,anahisi ukioa huyo mwanamke atachukua nafasi yake moyoni mwako, ni tukio la kisaikolojia
Hii ndio point niliyokuwa naitafuta, hongera sana mkuu kwa mungu kukupa uwezo mkubwa wa kufikiri..hatimae umetegua kitendawili kilichowashinda wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…