Fikra za Mama yangu kuhusu Ndoa na Familia

Kufichiana aibu tena wakati yeye ameiweka aibu wazi wazi mkuu hivi MIMI hapa kosa lipo wapi mtu kasema mwenyewe sasa MIMI kosa langu lipi hapo?
Huna kosa lakini katika mizani ya kibinadamu sio vyema.......watu wema wanajenga sio kubomoa hata kama wao wanabomoa
 
Anaweza kuwa mbinafsi anataka see na kauli na kipato cha wanawe wa kiume.
Anaweza kuwa na siri kubwa ambayo ameona faida kwako ungefanya alichosema kwa manufaa yako kama mwanaume.
 
Na kwa taarifa yako utakayemuoa atapata mitikisiko Sana kutoka kwa ni mkubwa maana mama hataki uoe mke mmoja Ila anaamini kwenye mahusiano na wanawake mbalimbali.....
Wait utakuja kushuhudia
 
Na kwa taarifa yako utakayemuoa atapata mitikisiko Sana kutoka kwa ni mkubwa maana mama hataki uoe mke mmoja Ila anaamini kwenye mahusiano na wanawake mbalimbali.....
Wait utakuja kushuhudia
Mama anataka mwanae awe anazimwagamwaga kwenye kila shimo hizo Mbegu za Maboga ili kuwe na Maboga mengi mengi
 
Wazee wa kuzoom Aiseee
 
Daah 🤣😆😆 ilikutokea nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…